Ipi ni comeback ya kibabe zaidi: Simba vs Mufulira Wanderers au hii ya Yanga vs CR Belouizdad

Ipi ni comeback ya kibabe zaidi: Simba vs Mufulira Wanderers au hii ya Yanga vs CR Belouizdad

Mikia mnahangaika. Kwenye karne hii nimeshuhudia wasiojitambua, lakini wa hii timu ni kiboko. Hata kujitafuta kwenu kwa kufoce foce tu. Mnashika tawi hili mnaliacha, mnaona haliwatoshi, shina mnaona nalo linatereza. Tulieni tu sindano izamishwe hata kama ni ya ng'ombe tulia hivyo hivyo.
 
Leo yale yanayojiiita mabingwa ya kihistoria hayataki historia...inafurahisha sana...rekodi zikishawekwa zimewekwa mpk zivunjwe so far so good hakuna alievunja hiyo rekodi hyo ya comeback ya Simba kumfunga mtu kwao goli tano mpk sasa Champions league... na kuna rekodi nyingine hii hapa kama Simba tunajivunia
Screenshot_20240301-072939_Instagram.jpg
 
Ww tumia akili..historia zipo kabla huyo ricardo momwe hajazaliwa...kwanza huyo rikado ndo nani hapa Tanzania...
Hakuna aliekataa kua Historia haipo ila historia lazima ijulikane.
Nyie historia zenu kila Mara zinaibuka juujuu tu wakat wakutafta Tension!!..Yanga akitokea akamfunga Ahly Pale Mtakuja na Ya kwenu Pia au itokee Yanga akacheza Fainal Mtaibuka na Yenu pia ambayo Miaka na Miaka haijawahi kusemwa na Vizazi Vyenu vyote haviijui.
Kama ni Historia ipo na ni nzuri lazima Team hua inaitangaza ili vizazi na vizazi viijue na viwe proud nayo.
 
Back
Top Bottom