Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
hahah sawa kabisa hongera bukuonaireZakwangu 4 tu ndo significant figures nyingine ni mbele ya nukta [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah sawa kabisa hongera bukuonaireZakwangu 4 tu ndo significant figures nyingine ni mbele ya nukta [emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we hizo tarakimu 6 unazo?
Muuza vifaa vya ujenzi 🙆Kaka we embu Naina unikopeshe Kia's Cha shilingi elf 30k by j tatu nawasilisha
😂😂😂😂😂 hilo geni najuaga na lile "mchati"Na papa bear 😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Tanzania umaskini umekithiri asee, imagine hako ndo kasalio ka mtun[emoji58]
Hvi Ni million 195620 au Ni lakiIla Tanzania umaskini umekithiri asee, imagine hako ndo kasalio ka mtun[emoji58]
Achana na hao viherehere dia umewaweza......Najua walimwengu wangekimbilia kusema huna hiyo pesa hasa wanawake mana nawajua humu kwa viherehere 😂😂😂
Tunapewa majina mengi sana, yapo mengi mno😂😂😂😂😂 hilo geni najuaga na lile "mchati"
Tunapewa majina mengi sana, yapo mengi mno😂😂😂😂😂 hilo geni najuaga na lile "mchati"
Nimechekaaa ikabidi nishike calculate kuona ni Kia's gani hcho mkuu kumbe million mnamuona dogo Hana pesa mbna wengi humu hata laki ahisomiNdio maana nimemwambia aongeze mzee.
Biashara ngumu mkuuMuuza vifaa vya ujenzi [emoji134]
Ile ya fomu huoni ingekusaidiaBiashara ngumu mkuu
Mimi sijataka utelezi ila yeye ndo ametaka pesa yangu sasa nani hapo anatakiwa kutangulia kutoa huduma ?Mapenzi ni two ways -toa pesa upate utelezi...WIn win situation.
Kama hautaki utelezi achana nae usave kibunda chako ,ukiendelea kumuentertain basi na yeye anajua unataka mzigo.Mimi sijataka utelezi ila yeye ndo ametaka pesa yangu sasa nani hapo anatakiwa kutangulia kutoa huduma ?
Ushauri wa bure, tafuta hela mkuu.Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri.
Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active vibaya mno kwenye mawasiliano.Mimi kama mwanaume sijashangaa yeye kupunguza mawasiliano na mimi mana najua ndo tabia za wanawake pindi wanapoingia kwenye mahusiano mengine ya pembeni mana anakua active zaidi kwenye mawasiliano na mtu mpya kuliko wewe ambae ulianza nae.
Huyu binti kwakua nishamkula sana nimeona sina chakupoteza mana sikua na mpango wa kumuacha ila kwakua yeye mwenyewe ndo kalikoroga basi acha alinywe.
Juzi jioni nimekaa sina hili wala lile nikaona kanitumia text ya kuniomba nimsaidie Tshs 100,000 nikasema hapa sasa ngoja nikuonyeshe show kwamba there is no free lunch.
View attachment 2953873
Utajiri wako ni Dola 700 hongeraKuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri.
Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active vibaya mno kwenye mawasiliano.Mimi kama mwanaume sijashangaa yeye kupunguza mawasiliano na mimi mana najua ndo tabia za wanawake pindi wanapoingia kwenye mahusiano mengine ya pembeni mana anakua active zaidi kwenye mawasiliano na mtu mpya kuliko wewe ambae ulianza nae.
Huyu binti kwakua nishamkula sana nimeona sina chakupoteza mana sikua na mpango wa kumuacha ila kwakua yeye mwenyewe ndo kalikoroga basi acha alinywe.
Juzi jioni nimekaa sina hili wala lile nikaona kanitumia text ya kuniomba nimsaidie Tshs 100,000 nikasema hapa sasa ngoja nikuonyeshe show kwamba there is no free lunch.
Nikamjibu nikamwambia ngoja tuone kesho nitapata kiasi gani ili sikuhaidi kwamba nitakupatia hiyo 100k yote, nitakayofanikisha nitakuambia akasema "sawa nitashukuru" nikasema kimoyomoyo "kesho utafurahia show"
Sio kwamba sikua na hiyo hela, pesa nilikua nayo ila nilitaka tu kumpa ahadi hewa ingawa anajua kabisa iko ndani ya uwezo wangu.
Kesho yake ananitext nikajua tu huyu anasalimia sababu nilimuahidi pesa, nilikuja kuijibu text yake baada ya masaa mawili kisha nikakaa kimya.
Jioni alipiga nikawa naiangalia timu simu yake , nilikua kumtumia text baada ya masaa mawili tena na kumuuliza anasemaje.....Yani nilikua namgonga swali as if sikumuahidi chochote halafu nilikua sitaki tu kuskia sauti yake ndomana nilikua sipokei simu yake.
Ili kuwahakikishia kwamba ninao uwezo wa kumtumia 100k ila tu sitaki naambatanisha na my bank balance ya muda huu.
Hakuna muda wa kumuonea huruma mtu asiyekuthamini na kukumbuka wema wako.
View attachment 2953873