Kungarochi
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 271
- 601
Bado hujajibu swali la mtoa mada.Huko unakomwelekeza akosome ndio atazidi kuchanganyikiwa.Dunia hii inaendeshwa Kwa Siri kubwa hasa katika kuwafanya watu kuwa Mental Slave.Kasome Biblia utajua waisrael kwao ni wapi.
Hivi wale wamasai waliohamishwa kwa mabavu na kupewa waarabu, siku wakirudi kwao watafikia wapi?
Ndo maana nikauliza ili na mm nipate madiniKasome Biblia utajua waisrael kwao ni wapi.
Hivi wale wamasai waliohamishwa kwa mabavu na kupewa waarabu, siku wakirudi kwao watafikia wapi?
Lakini kwa mujibu wa Biblia hiyo aliagizwa atoke kwao hadi kule Mungu alikomwagiza akaanzishe makazi mapya na uzao wake.Kwa mujibu wa biblia:
Babu yao mvamizi na mporaji Abraham babu kutoka/mzaliwa Iraq , Yakobo kwao Iraq sio hapo wanapo pang'ang'ania na kupaita pao.
Alitoka kwao si ndio ? Na wewe si unataka historia ya Yakobo ?Lakini kwa mujibu wa Biblia hiyo aliagizwa atoke kwao hadi kule Mungu alikomwagiza akaanzishe makazi mapya na uzao wake.
Jibu swali kaka mbn kama ugomviAlitoka kwao si ndio ? Na wewe si unataka historia ya Yakobo ?
Nimekwisha kujibu toka hapo mwanzo kabisa kuwaJibu swali kaka mbn kama ugomvi
Changamoto kubwa kuhusu Wayahudi hapo Israel itakubidi kwanza uamue kujadili kwa mujibu wa iman au akili ya kuzaliwa nayo.Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima.
Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
Tunaweza tumia biblia kama kitabu cha rejea ila tusitupe akili zetu kando!Lakini kwa mujibu wa Biblia hiyo aliagizwa atoke kwao hadi kule Mungu alikomwagiza akaanzishe makazi mapya na uzao wake.
Umeulizwa kuhusu waisrael wa kweli na sio eneo acha kukurupuka..Kasome Biblia utajua waisrael kwao ni wapi.
Hivi wale wamasai waliohamishwa kwa mabavu na kupewa waarabu, siku wakirudi kwao watafikia wapi?
Kw hyo hapo waliporejea ndo mababu zao waliishi na nasikia kuwa hata kabla ya 1947 jamii ya wayahudi ilikuwepo japo kwa uchache?Changamoto kubwa kuhusu Wayahudi hapo Israel itakubidi kwanza uamue kujadili kwa mujibu wa iman au akili ya kuzaliwa nayo.
Kwanini nimekupa hizo option 2? Sababu iman unakupa kikomo cha kufikiri ila akili ya kuzaliwa nayo haitakupa kikomo cha kung'amua.
Wayahudi wasasa ni wahamiaji walionza kurejea Palestina mwaka 1917 toka Ulaya Mashariki, waliamua kuamza kurejea mara baada kunyanyaswa sana na jamii za wazungu huko Ulaya hasa mashariki.
Uingereza chini ya waziri wa mambo ya nje Sir Joseph Chamberlain aliahidi kuwapatia eneo wayahudi waliobaguliwa huko Urusi na Ulaya, alipendekeza kuwaleta Uganda 1903 ila Wayahudi walikataa na walianzisha harakati za kurudi Palestina.
Wakati huu Palestina ilikuwa chini utawala wa Otoman Empire ambapo ilikuwa ni moja ya dola yenye nguvu hapa Duniani. Uingereza alifanikiwa kuyarubuni mataifa kadhaa ya kiarabu kama Misri na Jordan kumpiga Otoman Empire kwenye vita ya 1 ya Dunia na hatimae wakamshinda na rasmi eneo la Palestina akapewa Uingereza kama mwanagalizi chini ya League of Nation's.
Uingereza alikuwa katika harakati pia za kuwatafutia eneo la kuishi Wayahudi na hii ilipata nguvu mara baada ya Uingereza kuitawala Palestina, mwaka 1917 Wayahudi walianza kurejea rasmi Palestina huku Uingereza ikipewa jukumu lasmi la kusimamia uundaji wa Taifa la Kiyahudi.
Hatimae mara baada ya Vita kuu ya pili ya Dunia nchi ya Israel iliundwa yaani 1948.
Nirudi kwenye swali lako mama, Je! Wayahudi hawa ndiyo wale wa kale? Jibu ni Hapana.
Inasemekena Wayahudi walitoka huko Palestina 1517 kukimbia manyanyaso ya utawala wa Otoman, na walianza kurejea mwaka 1917 yaani walikaa Ulaya zaidi ya miaka 400! Kiufupi tunaweza sema vilipita vizazi zaidi ya 5! Hapo katika vizazi 5 pamoja na kujamiina na jamii nyingine za Ulaya na Urusi bas ni wazi kuwa waliorejea kuanzisha nchi hawakuwa Wayahudi wale wa kale.
Hapa sijagusa ya utumwani Misri na ya Utawala wa Rumi.
Swali dogo kwako Ni ujiulize Kama wapalestina walikuwepo toka zamani kwanini wayaudi wasiwepo toka zamani?. Maana unaposema kuwa wa Leo siyo og. Maana yake hakuna wayaudi duniani kwa Sasa.Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima.
Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
Alikuta watuLakini kwa mujibu wa Biblia hiyo aliagizwa atoke kwao hadi kule Mungu alikomwagiza akaanzishe makazi mapya na uzao wake.
Uyahudi ni Imani Kama uislam na ukiristo,so mtu yoyote anaweza badili dini na kuwa myahudi, muislam hawezi dai Saudi Arabia ni nchi yakeSwali dogo kwako Ni ujiulize Kama wapalestina walikuwepo toka zamani kwanini wayaudi wasiwepo toka zamani?. Maana unaposema kuwa wa Leo siyo og. Maana yake hakuna wayaudi duniani kwa Sasa.
Umesoma historia iliyoandaliwa na mwarabu lazima ikupotoshe. Hitleraliwaua wayaudi zaidi ya milioni 6. Katika Vita ya pili ya dunia alafu mwarabu anakwambia 47 walikuwa kwa uchache. HahahahaaaaKw hyo hapo waliporejea ndo mababu zao waliishi na nasikia kuwa hata kabla ya 1947 jamii ya wayahudi ilikuwepo japo kwa uchache?
Wafalme wa 'wayahudi' katika nchi ya watu, ndiyo maana daudi alipigana na wafilistiMfalme daudi, mfalme Suleman walikuwa wafalme wa nchi gani?
Hiyo nchi ilikuw eneo gani?
Israel ipo toka zamani kama taifa.
Mkimbizi, huwa anakwao siku zote, ndio maana nchini Tanzania, wakibizi wa Burundi 1972, lakini 2008 walirudi nchi yao ya Burundi na mashamba yao walipewa