Mmmh hii kali. Kwa hiyo uyahudi no Imani kesho mtasema mzanzibara Ni imaniUyahudi ni Imani Kama uislam na ukiristo,so mtu yoyote anaweza badili dini na kuwa myahudi, muislam hawezi dai Saudi Arabia ni nchi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh hii kali. Kwa hiyo uyahudi no Imani kesho mtasema mzanzibara Ni imaniUyahudi ni Imani Kama uislam na ukiristo,so mtu yoyote anaweza badili dini na kuwa myahudi, muislam hawezi dai Saudi Arabia ni nchi yake
Uyahudi ni Imani na si utaifa,taifa ni Israel,ndiyo maana Kuna wayahudi wengi tu wa Ethiopia, Eritrea nk,hata wewe ukitaka kuwa myahudi unakuaMmmh hii kali. Kwa hiyo uyahudi no Imani kesho mtasema mzanzibara Ni imani
Wayaudi Ethiopia waliletwa na kizazi Cha Suleiman kwa kwa malikia wa sheba. Uyahudi si Imani acha kupotoshaUyahudi ni Imani na si utaifa,taifa ni Israel,ndiyo maana Kuna wayahudi wengi tu wa Ethiopia, Eritrea nk,hata wewe ukitaka kuwa myahudi unakua
Ndiyo katika miji kama Hebron, Safed, na Yerusalemu kulikuwa na idadi ndogo ya Wayahudi wanaoishi na kufanya ibada zao kama kawaida ijapokuwa kubaguliwa kwa Wayahudi hasa kulitokea katika utawala wa Utawala wa Byzantine, Utawala wa Byzantine ulitokana na Dola la Roma la Mashariki, ambalo liliendelea kuwepo baada ya Dola la Roma kuanguka katika karne ya 5.Kw hyo hapo waliporejea ndo mababu zao waliishi na nasikia kuwa hata kabla ya 1947 jamii ya wayahudi ilikuwepo japo kwa uchache?
Mimi binafsi ni mkristo tena mroma ila nilichojifunza ni kuwa kushabikia uyahudi ni kumkana Yesu Kristo kwa maana unalikataa Agano Jipya.Hili suala inabidi mtu alifatilie kwa kudhamiria kutoka moyoni mwake huku akiweka mahaba ya dini pembeni kabisa.
Umetoa mfano mzuri sana.Uyahudi ni Imani Kama uislam na ukiristo,so mtu yoyote anaweza badili dini na kuwa myahudi, muislam hawezi dai Saudi Arabia ni nchi yake
[emoji1022][emoji16][emoji16][emoji16]Mmmh hii kali. Kwa hiyo uyahudi no Imani kesho mtasema mzanzibara Ni imani
Uyahudi ni Imani na si utaifa,taifa ni Israel,ndiyo maana Kuna wayahudi wengi tu wa Ethiopia, Eritrea nk,hata wewe ukitaka kuwaMmmh hii kali. Kwa hiyo uyahudi no Imani kesho mtasema mzanzibara Ni imani
Mpaka Leo watu wanabadili dini na kuwa wayahudi, netanyahu akawa na mpango wa restrict Imani ya kiyahudi iwe kwa waisrael tu,Kama si dini rabbi ni nani!?Wayaudi Ethiopia waliletwa na kizazi Cha Suleiman kwa kwa malikia wa sheba. Uyahudi si Imani acha kupotosha
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima.
Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
Mkuu kumbukaYakobo ambaye ni Israel katika watoto wake 12 Yuda ndio mwenye ukoo wa wayahudi hivyo wayahudi sio dini tu ni koo kati ya koo 12 za uzao wa Yakobo (Israel)Ndiyo katika miji kama Hebron, Safed, na Yerusalemu kulikuwa na idadi ndogo ya Wayahudi wanaoishi na kufanya ibada zao kama kawaida ijapokuwa kubaguliwa kwa Wayahudi hasa kulitokea katika utawala wa Utawala wa Byzantine, Utawala wa Byzantine ulitokana na Dola la Roma la Mashariki, ambalo liliendelea kuwepo baada ya Dola la Roma kuanguka katika karne ya 5.
Baada ya karne 7 Uislamu ulipoanza kuenea na ktawala eneo la Palestina ndipo Wayahudi walianza kupata unafuu wa hata kuabudu pamoja na ulinzi.
Hapa kuna vitu viwili unaweza kuchanganya.
1. Uyahudi
2. Uzayuni
1. Uyahudi ni nini? Uyahudi ni dini, utamaduni, na jamii ya watu ambao wanafuata imani ya Kiyahudi na wanaweza kuwa na asili ya Kiyahudi au kujiunga na dini hiyo. Kwa Wayahudi, Uyahudi ni dini yao na ni sehemu muhimu ya utambulisho wao.
2. Uzayuni ni nini? Uzayuni ni harakati ya kisiasa na kitamaduni iliyoanzishwa katika karne ya 19 na lengo la kuunda na kuunga mkono nchi ya Wayahudi katika Palestina, eneo ambalo sasa linajulikana kama Israel. Harakati hii ilijitokeza kama majibu kwa changamoto za Wayahudi za ubaguzi na mateso katika sehemu mbalimbali za dunia, pamoja na maeneo ya Ulaya
Kwa kifupi, Uyahudi ni imani na utamaduni wa watu, wakati Uzayuni ni harakati ya kisiasa iliyojitolea kwa kuanzishwa na kuendeleza nchi ya Wayahudi katika ardhi ya Israel.
Unamkana kivipi mkuu wakati Yesu ni Myahudi yeye ni kizazi cha 39 kutoka Yuda hadi Yusuph..Mimi binafsi ni mkristo tena mroma ila nilichojifunza ni kuwa kushabikia uyahudi ni kumkana Yesu Kristo kwa maana unalikataa Agano Jipya.
Pili nilichojifunza katika akili yangu ya kuzaliwa nayo ni sawa leo Wazaramo warudi mzizima waseme pale kwao kwasababu kuna historia yao na pia kulikuwa na makuburi ya mababu zao! Sasa kama nyinyi mmetoka zaidi miaka 400 leo unarudi unasema hapa pako tutaelewana kweli? Ata kama uje biblia au Quran siwezi kukuelewa! Ata uoteshwe kama na Mungu wako mi nitakuambia hizo ndoto za mchana tu.
Wayahudi wanatokana Yuda sio imani tu ni moja kati ya kabila 12 za watoto wa Yakobo (Israel)Uyahudi ni Imani na si utaifa,taifa ni Israel,ndiyo maana Kuna wayahudi wengi tu wa Ethiopia, Eritrea nk,hata wewe ukitaka kuwa
Mpaka Leo watu wanabadili dini na kuwa wayahudi, netanyahu akawa na mpango wa restrict Imani ya kiyahudi iwe kwa waisrael tu,Kama si dini rabbi ni nani!?
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima.
Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
Bado hujajibu swali la mtoa mada.Huko unakomwelekeza akosome ndio atazidi kuchanganyikiwa.Dunia hii inaendeshwa Kwa Siri kubwa hasa katika kuwafanya watu kuwa Mental Slave.
Alitoka kwao si ndio ? Na wewe si unataka historia ya Yakobo ?
Changamoto kubwa kuhusu Wayahudi hapo Israel itakubidi kwanza uamue kujadili kwa mujibu wa iman au akili ya kuzaliwa nayo.
Kwanini nimekupa hizo option 2? Sababu iman unakupa kikomo cha kufikiri ila akili ya kuzaliwa nayo haitakupa kikomo cha kung'amua.
Wayahudi wasasa ni wahamiaji walionza kurejea Palestina mwaka 1917 toka Ulaya Mashariki, waliamua kuamza kurejea mara baada kunyanyaswa sana na jamii za wazungu huko Ulaya hasa mashariki.
Uingereza chini ya waziri wa mambo ya nje Sir Joseph Chamberlain aliahidi kuwapatia eneo wayahudi waliobaguliwa huko Urusi na Ulaya, alipendekeza kuwaleta Uganda 1903 ila Wayahudi walikataa na walianzisha harakati za kurudi Palestina.
Wakati huu Palestina ilikuwa chini utawala wa Otoman Empire ambapo ilikuwa ni moja ya dola yenye nguvu hapa Duniani. Uingereza alifanikiwa kuyarubuni mataifa kadhaa ya kiarabu kama Misri na Jordan kumpiga Otoman Empire kwenye vita ya 1 ya Dunia na hatimae wakamshinda na rasmi eneo la Palestina akapewa Uingereza kama mwanagalizi chini ya League of Nation's.
Uingereza alikuwa katika harakati pia za kuwatafutia eneo la kuishi Wayahudi na hii ilipata nguvu mara baada ya Uingereza kuitawala Palestina, mwaka 1917 Wayahudi walianza kurejea rasmi Palestina huku Uingereza ikipewa jukumu lasmi la kusimamia uundaji wa Taifa la Kiyahudi.
Hatimae mara baada ya Vita kuu ya pili ya Dunia nchi ya Israel iliundwa yaani 1948.
Nirudi kwenye swali lako mama, Je! Wayahudi hawa ndiyo wale wa kale? Jibu ni Hapana.
Inasemekena Wayahudi walitoka huko Palestina 1517 kukimbia manyanyaso ya utawala wa Otoman, na walianza kurejea mwaka 1917 yaani walikaa Ulaya zaidi ya miaka 400! Kiufupi tunaweza sema vilipita vizazi zaidi ya 5! Hapo katika vizazi 5 pamoja na kujamiina na jamii nyingine za Ulaya na Urusi bas ni wazi kuwa waliorejea kuanzisha nchi hawakuwa Wayahudi wale wa kale.
Hapa sijagusa ya utumwani Misri na ya Utawala wa Rumi.
Naomba nisomee Waebrania 7:26-28 then nipe manaake.Unamkana kivipi mkuu wakati Yesu ni Myahudi yeye ni kizazi cha 39 kutoka Yuda hadi Yusuph..
Kwa mujibu wa dini ya uyahudi inasemekana makabila yote 12 yalitoa wayuhudi akiwemo na Yuda.Mkuu kumbukaYakobo ambaye ni Israel katika watoto wake 12 Yuda ndio mwenye ukoo wa wayahudi hivyo wayahudi sio dini tu ni koo kati ya koo 12 za uzao wa Yakobo (Israel)
Kwa mujibu wa biblia:
Babu yao mvamizi Abraham babu kutoka/mzaliwa Iraq , Yakobo kwao Iraq sio hapo wanapo pang'ang'ania na kupaita pao.
Kwa hiyo waisrael wa kweli hawapo kwny Dunia ya leo, maana kama hawo waliorudishwa pale siyo wenyewe inamanisha hakuna myahudi au muisrael kweny ulimwengu wa Leo.Kwa mujibu wa Biblia hao wanaotambulika kama Waisrael na Wapalestina wote hao hapo siyo kwao. Wakazi wa mwanzo kabisa ni Wakanani na mkanani ni mtu mweusi ambaye ndugu yake ni Misri na Kush.
Mwanzo 10.6 Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
Kwahiyo Ibrahim kweli alipewa hiyo nchi lakini Waisrael halisi Musa aliwapa agano amabalo kama watalishika Mungu hatawaacha na atawabariki lakini kama hawatalishika agano la Mungu basi laana itakuwa juu yao na Mungu atawatawanya dunia yote na wao watakuwa watumwa na chochote watakacho kifanya hakita fanikiwa.
Waisrael halisi walikengeuka vile wao ndiyo waliyo mkataa Masii wao [YESU] na wakamuu na walisema wenyewe laana iwe juu yao na watoto wao,.
Miaka 70 baada ya Yesu Majeshi ya kirumi yalivamia Jerusalem na kuangamiza kila kitu na wengi kukimbia na wengine kupelekwa utumwani.
Sasa baada ya miaka mingi ndiyo ujanja unatumika kuwarudisha watu flani na kuwaita ndiyo wale Waisrael wa nyakati zile, walirudishwa hapo 1948 ni ulagai tu ulitumika vile hata kutengeneza hiyo , walibuni mbinu ionekane kama Adolf Hitler atawamaliza vile wanauliwa sana. Hiyo ilikuwa mbinu na ilifanikiwa sana.
Swali hawa watu walitubu wapi kwa Mungu wao hadi kurudishwa kwenye hiyo nchi kulingana na agano kutoka ndani ya Biblia?