Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

Waisrael ni kikundi cha watu walioamua kujifanya wao ndio wale jamaa wa kwenye bible na kujipa mamlaka ktk nchi waliyojipatia
 
Mmmh hii kali. Kwa hiyo uyahudi no Imani kesho mtasema mzanzibara Ni imani
Uyahudi ni Imani na si utaifa,taifa ni Israel,ndiyo maana Kuna wayahudi wengi tu wa Ethiopia, Eritrea nk,hata wewe ukitaka kuwa myahudi unakua
 
Uyahudi ni Imani na si utaifa,taifa ni Israel,ndiyo maana Kuna wayahudi wengi tu wa Ethiopia, Eritrea nk,hata wewe ukitaka kuwa myahudi unakua
Wayaudi Ethiopia waliletwa na kizazi Cha Suleiman kwa kwa malikia wa sheba. Uyahudi si Imani acha kupotosha
 
Hili suala inabidi mtu alifatilie kwa kudhamiria kutoka moyoni mwake huku akiweka mahaba ya dini pembeni kabisa.
 
Kwa mujibu wa Biblia hao wanaotambulika kama Waisrael na Wapalestina wote hao hapo siyo kwao. Wakazi wa mwanzo kabisa ni Wakanani na mkanani ni mtu mweusi ambaye ndugu yake ni Misri na Kush.

Mwanzo 10.6 Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.

Kwahiyo Ibrahim kweli alipewa hiyo nchi lakini Waisrael halisi Musa aliwapa agano amabalo kama watalishika Mungu hatawaacha na atawabariki lakini kama hawatalishika agano la Mungu basi laana itakuwa juu yao na Mungu atawatawanya dunia yote na wao watakuwa watumwa na chochote watakacho kifanya hakita fanikiwa.

Waisrael halisi walikengeuka vile wao ndiyo waliyo mkataa Masii wao [YESU] na wakamuu na walisema wenyewe laana iwe juu yao na watoto wao,.

Miaka 70 baada ya Yesu Majeshi ya kirumi yalivamia Jerusalem na kuangamiza kila kitu na wengi kukimbia na wengine kupelekwa utumwani.

Sasa baada ya miaka mingi ndiyo ujanja unatumika kuwarudisha watu flani na kuwaita ndiyo wale Waisrael wa nyakati zile, walirudishwa hapo 1948 ni ulagai tu ulitumika vile hata kutengeneza hiyo , walibuni mbinu ionekane kama Adolf Hitler atawamaliza vile wanauliwa sana. Hiyo ilikuwa mbinu na ilifanikiwa sana.

Swali hawa watu walitubu wapi kwa Mungu wao hadi kurudishwa kwenye hiyo nchi kulingana na agano kutoka ndani ya Biblia?
 
Kw hyo hapo waliporejea ndo mababu zao waliishi na nasikia kuwa hata kabla ya 1947 jamii ya wayahudi ilikuwepo japo kwa uchache?
Ndiyo katika miji kama Hebron, Safed, na Yerusalemu kulikuwa na idadi ndogo ya Wayahudi wanaoishi na kufanya ibada zao kama kawaida ijapokuwa kubaguliwa kwa Wayahudi hasa kulitokea katika utawala wa Utawala wa Byzantine, Utawala wa Byzantine ulitokana na Dola la Roma la Mashariki, ambalo liliendelea kuwepo baada ya Dola la Roma kuanguka katika karne ya 5.

Baada ya karne 7 Uislamu ulipoanza kuenea na ktawala eneo la Palestina ndipo Wayahudi walianza kupata unafuu wa hata kuabudu pamoja na ulinzi.

Hapa kuna vitu viwili unaweza kuchanganya.

1. Uyahudi
2. Uzayuni

1. Uyahudi ni nini? Uyahudi ni dini, utamaduni, na jamii ya watu ambao wanafuata imani ya Kiyahudi na wanaweza kuwa na asili ya Kiyahudi au kujiunga na dini hiyo. Kwa Wayahudi, Uyahudi ni dini yao na ni sehemu muhimu ya utambulisho wao.

2. Uzayuni ni nini? Uzayuni ni harakati ya kisiasa na kitamaduni iliyoanzishwa katika karne ya 19 na lengo la kuunda na kuunga mkono nchi ya Wayahudi katika Palestina, eneo ambalo sasa linajulikana kama Israel. Harakati hii ilijitokeza kama majibu kwa changamoto za Wayahudi za ubaguzi na mateso katika sehemu mbalimbali za dunia, pamoja na maeneo ya Ulaya

Kwa kifupi, Uyahudi ni imani na utamaduni wa watu, wakati Uzayuni ni harakati ya kisiasa iliyojitolea kwa kuanzishwa na kuendeleza nchi ya Wayahudi katika ardhi ya Israel.
 
Hili suala inabidi mtu alifatilie kwa kudhamiria kutoka moyoni mwake huku akiweka mahaba ya dini pembeni kabisa.
Mimi binafsi ni mkristo tena mroma ila nilichojifunza ni kuwa kushabikia uyahudi ni kumkana Yesu Kristo kwa maana unalikataa Agano Jipya.

Pili nilichojifunza katika akili yangu ya kuzaliwa nayo ni sawa leo Wazaramo warudi mzizima waseme pale kwao kwasababu kuna historia yao na pia kulikuwa na makuburi ya mababu zao! Sasa kama nyinyi mmetoka zaidi miaka 400 leo unarudi unasema hapa pako tutaelewana kweli? Ata kama uje biblia au Quran siwezi kukuelewa! Ata uoteshwe kama na Mungu wako mi nitakuambia hizo ndoto za mchana tu.
 
Mmmh hii kali. Kwa hiyo uyahudi no Imani kesho mtasema mzanzibara Ni imani
Uyahudi ni Imani na si utaifa,taifa ni Israel,ndiyo maana Kuna wayahudi wengi tu wa Ethiopia, Eritrea nk,hata wewe ukitaka kuwa
Wayaudi Ethiopia waliletwa na kizazi Cha Suleiman kwa kwa malikia wa sheba. Uyahudi si Imani acha kupotosha
Mpaka Leo watu wanabadili dini na kuwa wayahudi, netanyahu akawa na mpango wa restrict Imani ya kiyahudi iwe kwa waisrael tu,Kama si dini rabbi ni nani!?
 
 
Mkuu kumbukaYakobo ambaye ni Israel katika watoto wake 12 Yuda ndio mwenye ukoo wa wayahudi hivyo wayahudi sio dini tu ni koo kati ya koo 12 za uzao wa Yakobo (Israel)
 
Unamkana kivipi mkuu wakati Yesu ni Myahudi yeye ni kizazi cha 39 kutoka Yuda hadi Yusuph..
 
Wayahudi wanatokana Yuda sio imani tu ni moja kati ya kabila 12 za watoto wa Yakobo (Israel)
 
Bado hujajibu swali la mtoa mada.Huko unakomwelekeza akosome ndio atazidi kuchanganyikiwa.Dunia hii inaendeshwa Kwa Siri kubwa hasa katika kuwafanya watu kuwa Mental Slave.
Alitoka kwao si ndio ? Na wewe si unataka historia ya Yakobo ?


View: https://youtu.be/yDs58krKXm0?si=uOiJQbXHbwtLCjba
 
Mkuu kumbukaYakobo ambaye ni Israel katika watoto wake 12 Yuda ndio mwenye ukoo wa wayahudi hivyo wayahudi sio dini tu ni koo kati ya koo 12 za uzao wa Yakobo (Israel)
Kwa mujibu wa dini ya uyahudi inasemekana makabila yote 12 yalitoa wayuhudi akiwemo na Yuda.
 
Kwa mujibu wa biblia:

Babu yao mvamizi Abraham babu kutoka/mzaliwa Iraq , Yakobo kwao Iraq sio hapo wanapo pang'ang'ania na kupaita pao.

Mwa 17:8 SUV
"Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao." .
Mwana wa House girl, hawezi kuwa mrithi.
 
Kwa hiyo waisrael wa kweli hawapo kwny Dunia ya leo, maana kama hawo waliorudishwa pale siyo wenyewe inamanisha hakuna myahudi au muisrael kweny ulimwengu wa Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…