Hawaki JF-Expert Member Joined Mar 29, 2017 Posts 757 Reaction score 1,055 Dec 3, 2021 #21 Kama unaamini wao wakubwa kwake na wazee wetu , basi hasara ni kuwatembelea sio kuwaita. Kuwaita wazee ni utovu wa adabu
Kama unaamini wao wakubwa kwake na wazee wetu , basi hasara ni kuwatembelea sio kuwaita. Kuwaita wazee ni utovu wa adabu
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 Dec 3, 2021 #22 navajo said: Hakuna hata mmoja alitoa ushauri kwa Magu kuhusu nani wa kumtembelea na kwa wakati gani? Kitu ambacho mnatakiwa kufahamu mungu akimjalia tunaweza kuwa nae mpaka 2030. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Keshachoka mbona?
navajo said: Hakuna hata mmoja alitoa ushauri kwa Magu kuhusu nani wa kumtembelea na kwa wakati gani? Kitu ambacho mnatakiwa kufahamu mungu akimjalia tunaweza kuwa nae mpaka 2030. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Keshachoka mbona?
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,039 Reaction score 6,253 Dec 3, 2021 #23 Hii nongwa sasa Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
I Ikitotanzila JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 1,409 Reaction score 2,263 Dec 3, 2021 #24 Huu Uzi umekaa kimalaya Malaya sana
samurai JF-Expert Member Joined Oct 16, 2010 Posts 11,495 Reaction score 24,223 Dec 3, 2021 #25 Mara paap ni zamu ya kila mwananchi kutembelewa nyumbani kwake...