Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

Kama unaamini wao wakubwa kwake na wazee wetu , basi hasara ni kuwatembelea sio kuwaita. Kuwaita wazee ni utovu wa adabu
 
Hakuna hata mmoja alitoa ushauri kwa Magu kuhusu nani wa kumtembelea na kwa wakati gani? Kitu ambacho mnatakiwa kufahamu mungu akimjalia tunaweza kuwa nae mpaka 2030. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Keshachoka mbona?
 
Mara paap ni zamu ya kila mwananchi kutembelewa nyumbani kwake...
 
Back
Top Bottom