Ipi ni lubricant nzuri kati ya TOTAL na CASTROL?

Aisee...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji85][emoji85]
JF kuna raha..
Ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] yaani hapo kwenye dictionary ya jamaa ni kama amesema matunda yana vitamini nyingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu asilimia 90% ni figure kubwa sana?Are you sure about this?
Kabisa mkuu!Kuna siku nilikuta vijana wanapakia haya makopo ya oil kwenye Lori wakawa wanasema kuwa wanaenda kujaza oil fake za kusambaza madukani.Vijana wa vijiweni wakawa wanawatania kuwa ni task force!
 
5w30 is a motor oil that is widely used in light-duty petrol and diesel engines. ... The “W” stands for “winter,” the number preceding it indicates the oil's viscosity (or thickness) at low temperatures (hence the W), and the number after it indicates viscosity at higher temperatures, when the engine is running.

Multigrade oils must fulfill two viscosity specifications, their viscosity grade consists of two numbers, e.g. 10W-40: 10W refers to the low-temperature viscosity ("Winter"), 40 refers to the high-temperature viscosity ("Summer").

Multigrade oils are engine oils which can be used in a wide temperature range. The oils are flowable in cold conditions and can lubricate the engine reliably. ... The first number "5w" stands for winter suitability up to a certain temperature and the second number "30" for a specific viscosity at 100 °C.

Monograde oils are defined according to their cold viscosity (for example, VICAM SPECIAL SAE 10W) or their hot viscosity (VICAM SPECIAL SAE 40). There are special monograde oils for either hot or cold applications, in contrast to multigrade oils which are suited to both hot and cold operation.
 
wakuu vipi kuhusu oil ya BP?
Ndio ipi hiyo hebu tupe jina..... Last time nimecheki pb ndio puma ya sasa, Puma wamefanya acquisition ya sheli zote zilizokuwa za BP zamani.
 
Kabisa mkuu!Kuna siku nilikuta vijana wanapakia haya makopo ya oil kwenye Lori wakawa wanasema kuwa wanaenda kujaza oil fake za kusambaza madukani.Vijana wa vijiweni wakawa wanawaita kuwa ni task force!
Ni OIL fake au ni OIL za dili?Ninchojua mim ni kwamba kuna OIL nyingi za DILI ambazo watu wanatoka na Mapipa Viwandani na kutaka kuuza kwa lita ndogondogo na wanatafuta madumu ya dili wanaenda kujaza.Sijui kama kuna OIL fake parse.Ila nafikir wataalamu wa kupima ubora wa OIL wanaweza kutasaidia ufeki wa oil unakuwaje?Ni kwamba kuna kiwanda kinazalisha substandard OILs au ni OIL chafu zinajazwa upya kwenye Chupa na Kuuzwa upya.Au kuna namna ya kusafisha OIL iliyotumika na kuirudisha SOKONI
 
Oil fake ni kwamba oil ya bei rahisi kama SAE40 inajazwa kwenye makopo ya 5W-30 na kuanza kuuzwa ghali.Kwa hiyo wewe mteja unauziwa oil ya 5W-30 gali kisha unaenda kuweka kwenye gari yako unayoipenda kumbe umeweka SAE40!
 
Mkuu,Lubricants ni Kama Petrol,Unanuna kwenye sheli moja kwa bei kubwa na sheli nyingine kwa bei ndogo.Unachotakiw akufahamu ni gari lako linaenda masafa kiasi gani kwani huo ndio msingi wa kuamua utumia lubricant ya aina gani otherwise Zote ni nzuri ingawa kwa sokoni Castrol kwa sasa iko Juu in terms of BEI ingawa kwa ubora Naona zote ni sawa tu.

Ushauri wangu,Tumia Castrol,Utajisikia amani zaidi
Mmmmmmhmn Castrol, bro unaijua liquimoly ile ya wajerumani sijui?!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] yaani hapo kwenye dictionary ya jamaa ni kama amesema matunda yana vitamini nyingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28]Nilicheka sana..
 
5w30 is a motor oil that is widely used in light-duty petrol and diesel engines. ... The “W” stands for “winter,” the number preceding it indicates the oil's viscosity (or thickness) at low temperatures (hence the W), and the number after it indicates viscosity at higher temperatures, when the engine is running.

Multigrade oils must fulfill two viscosity specifications, their viscosity grade consists of two numbers, e.g. 10W-40: 10W refers to the low-temperature viscosity ("Winter"), 40 refers to the high-temperature viscosity ("Summer").

Multigrade oils are engine oils which can be used in a wide temperature range. The oils are flowable in cold conditions and can lubricate the engine reliably. ... The first number "5w" stands for winter suitability up to a certain temperature and the second number "30" for a specific viscosity at 100 °C.

Monograde oils are defined according to their cold viscosity (for example, VICAM SPECIAL SAE 10W) or their hot viscosity (VICAM SPECIAL SAE 40). There are special monograde oils for either hot or cold applications, in contrast to multigrade oils which are suited to both hot and cold operation.
Maelezo yameshiba
 
Mkuu,Lubricants ni Kama Petrol,Unanuna kwenye sheli moja kwa bei kubwa na sheli nyingine kwa bei ndogo.Unachotakiw akufahamu ni gari lako linaenda masafa kiasi gani kwani huo ndio msingi wa kuamua utumia lubricant ya aina gani otherwise Zote ni nzuri ingawa kwa sokoni Castrol kwa sasa iko Juu in terms of BEI ingawa kwa ubora Naona zote ni sawa tu.

Ushauri wangu,Tumia Castrol,Utajisikia amani zaidi

Ni sheli ipi ambayo hawachakachui mafuta?
 
Back
Top Bottom