Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha