Mimi naona niwatu kuepuka kuzaa kiholela,kuzaa bila mipango!watoto mwisho wanakosa mwelekeo nibora usizae kabisa kuliko kuleta kiumbe ambacho hujakiandalia maisha yake yabaadae maana serikal haitakaa imtengenezee mtoto wa mtu maisha bora,sasa unapambana kutotoa kila leo kwamba ndo sifa wakati hao watoto future yao huijui mtoto anatim 20 age fixed account anaiskia kwa watoto wa vigogo na bado mzazi unamtegemea akulishe!! Ninin atafanye kuokoa familia iliyonyuma yake zaid ya ukahaba!!wizi wa mitandao nk