Kuna vitu hata visitupe presha..ukahaba,upo,ulikuwepo, utakuwepo mpaka milele...
Ni mambo yapo ndani ya asili ya mwanadamu...ngono/tendo la ndoa n.k.
Kuhangaika kutokomeza ukahaba ni sawasawa na kuhangaika kutokomeza uongo, fitina, wivu, utapeli, wizi, ujambazi n.k..as long as ni binadamu haya mambo yataendelea kuwepo tu..hata watu wafungwe 1000 years....Tofauti tunaweza tukacontrol madhara ya ukahaba na kiwango cha ukahaba kwa kutibu source..why watu wanafanya ukahaba...?? Itapunguza, haitamaliza..
Zaidi kuhimiza safe sex...na wajue madhara ya ukahaba kama magonjwa n.k.