Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #101
Nilikuwa na demu ana malengo balaa hata ukimpa pesa akatafute mahitaji yake anairudisha anakupa mipango mingine ya biashara na kujenga bajeti za kufa mtuMalay ni bk 5.demu hiyo c ya kusukia,bd vocha ...etc
Ukiona demu anakupiga vizinga visivyoeleweka hana malengo na wewe au wewe huna malengo nae