Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume

Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji

Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.

Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?

Nawasilisha
Ukahaba ni life style tu ambayo wengi wana enjoy kuiishi, fursa, mali na pesa vipatikanavyo kupitia ukahaba ni added advantages tu.
 
Hio biashara haiwezi kufa labda Masikini na Mafukara wote wafutwe, km hujaelewa hapo hautoweza kuelewa kamwe

Kahaba anafanya hivyo kupata Pesa ushaelewa ni Pesa sio kingine ili atoke kwenye lindi la Ufukara na umasikini alionao cha ajabu Pesa anayopata haitoshi kumtoa huko anajikuta anaendelea akitegemea kesho itakua Bora zaidi kumbe ndio unakua muendelezo
Kuna makahaba V.I.P mkuu sio hao wa kimboka na kwa mama kibonge tu

Bao moja 500k, wengine hadi ndinga wanasukuma na mijengo mikali utasemaje ni umasikini
 
Elimu ya amali (vocational training)
Kulinda mazingira ili kilimo kisife
Kuimarisha maadili ya familia
Hukohuko kwenye hivyo vyuo na familianyumba za ibada ndiyo kwenye DNA za ukahaba na manabii, walezi na wakufunzi wake
 
Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume

Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji

Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.

Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?

Nawasilisha

Mimi naona niwatu kuepuka kuzaa kiholela,kuzaa bila mipango!watoto mwisho wanakosa mwelekeo nibora usizae kabisa kuliko kuleta kiumbe ambacho hujakiandalia maisha yake yabaadae maana serikal haitakaa imtengenezee mtoto wa mtu maisha bora,sasa unapambana kutotoa kila leo kwamba ndo sifa wakati hao watoto future yao huijui mtoto anatim 20 age fixed account anaiskia kwa watoto wa vigogo na bado mzazi unamtegemea akulishe!! Ninin atafanye kuokoa familia iliyonyuma yake zaid ya ukahaba!!wizi wa mitandao nk
Inasikitisha sana unamleta kiumbe duniani bila hiali yake hatimaye anakuja kuteseka tu
 
Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume

Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji

Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.

Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?

Nawasilisha
MFUMO DUME unatakiwa urudi katika kuiongoza familia. Baba kama hana kauli /sauti katika nyumba basi tutegemee hali hii kuongezeka zaidi
 
Ni kweli kabisa mkuu,mtu atakuwaje shoga eti kisa ni masikini

Hivyo hivyo wa jinsia ke utakuwaje kahaba eti kisa weww ni masikini umasikini sio kilema
Wewe usichanganye mafaili unazungumzia ukahaba au unazungumzia ushoga? Simamia kimoja

Ukitaka tuzungumzie kuhusu ushoga edit andiko lako na title pia
 
Wewe usichanganye mafaili unazungumzia ukahaba au unazungumzia ushoga? Simamia kimoja

Ukitaka tuzungumzie kuhusu ushoga edit andiko lako na title pia
Nimetoa mfano tu kuelezea hali ya umasikini na ukahaba si vinginevyo
 
Nimetoa mfano tu kuelezea hali ya umasikini na ukahaba si vinginevyo
Mfano wa ushoga kwenye Mada ya ukahaba? That's insanity simamia kimoja unataka tuzungumzie kuhusu ushoga tuongelee ushoga unataka tuongelee ukahaba basi tuongelee ukahaba sio una-mix mara ushoga mara ukahaba unatafuta sympathy ya kutete mada jua kua sababu kuu ya ukahaba ni Ufukara na umasikini, mabinti wengi wa kutoka Maisha ya kimasikini ndio wanaoangukia huko taja mtoto wa kibopa yoyote mwenye ukwasi wa kutosha ambae anauza Mbunye alafu Mimi nikuoroshee watoto wa Masikini ambao wanauza Mbunye sababu ya umasikini walionao
 
Upande wa wanawake(japo sio wote) wanaona sababu ni wanaume kuendelea kuwanunua hao mabinti ndio maana wanaendelea kuwepo hapo wewe unaona ina mashiko hii hoja!
Ukimdhibiti muuzaji(mwanamke) automatically biashara itakufa ila ukimdhibiti mnunuaji(mwanaume) as long as muuzaji bado yupo basi biashara itaendelea kuwepo tu. Angalia mfano biashara ya madawa ya kulevya wauzaji wanadhibitiwa kwa kuweka sheria na adhabu kali wakibainika kwa sababu hawa ndio chanzo cha tatizo lakini watumiaji wanachukuliwa kama waathirika tu ambao wanahitaji msaada wa kupelekwa hospital au rehab.
 
Mfano wangu ni kastory karefu kidogo, kuna kipindi nasoma chuo nilijaribu kurequest escort mtandaoni tukakubaliana dau lak4 per show(sikuwa serious just kujaribu)

Basi akaniambia tuma nauli, ili kuonesha nipo vizuri nikamtumia 20k nikampa location baada ya dk kadhaa kafika kwenda nakuta ndinga na bonge la pisi na miwani juu nikapiga naona anapokea wee nilitafuta njia ya kutolokea sijampokelea simu tena
 
Back
Top Bottom