joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Vp kwa wanaouza indirect?Mkiacha kununua biashara itakoma according to member hapo juu
Au Okay Malaya maanake nini?
Kuna wayu wanauziwa mpaka kwenye ndoa zao vip na hawa nao?
Malaya sasa hivi wanapewa mpaka madeal na makampuni still bado wanauza,wengine wamejificha kwenye bongo movie wapo kibao wanawauzia watu wakubwa na wanasiasa,wanaitwa wadangaji na madalali wao ndio hawa machawa. Kuna teuzi kwenye vyama hivi vya siasa,sijui ubunge wa viti maalum na baadhi ya nafasi nyingine, inasemekana kuna wengine mpaka watoe ndio wanapewa na wengine huwa nyumba ndogo za wanasiasa wenye vyeo vyamani. Hii biashara ipo kwenye form mbalimbali.
Kitu chochote kinaanzia kwenye malezi na uwajibikaji ukichemka kwenye malezi, basi huwezi kuzuia tabia yoyote mbovu,tatu kama mzazi mjengee mtoto hofu ya dini basi.So Malezi,kuwajibika na hofu ya Mungu basi ndipo utaweza kulimaliza tatizo.
Swali na kuuliza kwa kuitizama hii jamii,wewe unaona ipo vizuri kwenye Malezi,Uwajibikaji na kuwa na hofu ya Mungu? Mimi sioni ndio maana aona ngumu hii biashara kuisha.