Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Serikali ituache tuwawajibishe wanetu na watoto wa ndugu zetu wanapokosea haya maswala ya haki za mtoto yanaharibu kizazi

Asaivi wazazi wanawaogopa watoto kwa kuhofia serikali
Hilo nalo neno, mtoto ambae hana maadili ukimuonya anakufugia mbwa Tena wakizungu
 
Hapa mkuu umeongea, serikali inanufaika na ujinga na umasikini wetu bila sisi kuamua mustakabali wa jamii yetu serikali kamwe haitahusika na sisi tatizo nikuwa sheria zinatubana endapo tukiwawajibisha hawa wanaochafua hali ya hewa

Unaweza ukamuona mtoto wa ndugu yako au hata jirani yako anafanya kitendo si cha maadili ukimkemea au kumuadhibu akikupeleka kwenye mkono wa sheria hutoki hapo ndipo jamii inajitenga na kubaki kuangalia tu uovu unaotendeka na wasifanye chochote
Tatizo liko kwenye Jamii zetu Kwa kuamua kufumba macho ama kuziba masikio Kwa mambo mengi ambayo hayako sawa kwenye jamii zetu hata Yale ambayo serikali inakosea na hilo Ndiyo limetufikisha hapa tulipo kibaya zaidi wale tunao wapa dhamana huahirisha kufikiri Kwa nafs, (human herding), kwasababu ya kujipendekeza ama uoga wa viongozi wao na kuamua kulitumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsi
 
Tatizo liko kwenye Jamii zetu Kwa kuamua kufumba macho ama kuziba masikio Kwa mambo mengi ambayo hayako sawa kwenye jamii zetu hata Yale ambayo serikali inakosea na Hilo Ndiyo limetufikisha hapa tulipo kibaya zaidi wale tunao wapa dhamana huahirisha kufikiri Kwa nafs, (human herding), kwasababu ya kujipendekeza ama uoga wa viongozi wao na kuamua kulitumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsi
Kuna kundi kubwa linanufaika na uozo huu achilia mbali serikali kwaiyo ukitaka kukomaa utajikuta pekeako na ukifikishwa mbele ya sheria huna mtetezi
 
Ukimfunza kijana mmoja wa kiume maadili, unaokoa mabinti kumi.
Lakini ukimfunza binti mmoja maadili basi unaokoa kijana mmoja wa kiume.
1=10
1=1
Binafsi naamini jamii bora iko mikononi mwa wanaume jasiri na bora.
Wanaume ndio watawala wa dunia hii
Nakubaliana nawewe mkuu mana kasi yakumtetea mtoto wa kike inavyoongezeka na ndiyo mambo haya yanapamba moto wanawake wanaamini wapi huru kwenye kila kitu hata ongezeko la mashoga ni matokeo ya malezi ya kina mama haswa single mothers.
 
Sheria pekee haziwezi kupambana na demand wanayokuwa nayo wateja. Na demand ikiwepo, supply itatokea tu. Dunia nzima, biashara hiyo imeshindikana kukomeshwa kwa sheria.
Ndiyoz! watuz wanapataz ze utamuzi, kumbez wenginez wanapataz mangonjwaz!, tenaz wanakufaz mapemaz, tuliambiwaz ze utamuzi umekaaz pabayaz,(mimiz nasemaz pazuriz), kilamtuz anapapendz Wanawakez wa kisasaz washambaz etiz wajanjaz wanajuaz kuvaaz nguozi zinazo onyeshaz mferejiz wa canaliz.Hahaha inatakiwa tutumie jicho la tatu kulidhibiti hili tatizo tusikatishane tamaa atakaye jenga maadili kwenye Jamii zetu ni sisi wenyewe mbona zamani waliweza Naam baada ya jamii kupata changamoto mafuvu yameanza kufanya kazi hakuna lisilowezekana duniani binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri
 
Chanźo!
1.Umasikini
2.Kukosa maadili
3.Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume na Wanaume wenye uwezo wa kuoa kutotaka kuoa.
4.Kasi kubwa ya kuvunjika ndoa.
 
Hakuna ongezeko lolote la hi biashara ni vile tu camera zinawafata sana na hawa watendaji wamefanya kama ni kazi ya msingi wanajua kabisa wana wimbi la vijana wasio na ajira utawadanganya wajiajiri lakini kwa takwimu walivyo wengi na jinsi ya kupata masoko ya chochote kilicho zalishwa hakuna namna wanaweza kutoka.
 
Chanźo!
1.Umasikini
2.Kukosa maadili
3.Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume na Wanaume wenye uwezo wa kuoa kutotaka kuoa.
4.Kasi kubwa ya kuvunjika ndoa.
Suluhisho ni kifanyike nini
 
Hakuna ongezeko lolote la hi biashara ni vile tu camera zinawafata sana na hawa watendaji wamefanya kama ni kazi ya msingi wanajua kabisa wana wimbi la vijana wasio na ajira utawadanganya wajiajiri lakini kwa takwimu walivyo wengi na jinsi ya kupata masoko ya chochote kilicho zalishwa hakuna namna wanaweza kutoka.
Mkuu umefanya research lakini kuna maeneo sasa hivi iwe mchana au usiku haswa kwa jiji la Dar ni biashara hii imeshamili achana na maeneo zoelefu yale ila nazungumzia maeneo mengine kabisa.
 
Mkuu umefanya research lakini kuna maeneo sasa hivi iwe mchana au usiku haswa kwa jiji la Dar ni biashara hii imeshamili achana na maeneo zoelefu yale ila nazungumzia maeneo mengine kabisa.
Mkuu kazi ya ukahaba ni ngumu sana wanaofanya wamejitoa hasa ni wazi hawana options
Ni wajibu wa serikali kuangalia kiini cha tatizo na kutoa sulihisho lenye tija kama kweli kuna ongezeko kiasi hicho serikali wakae nao waongee nao kujua elimu zao ujuzi walionao hii itasaidia sana kujua nini kinapelekea kufanya hiyo biashra na kuja na mwarobaini wa kudumu..japo hilo haliwezekani hata kwa 50%
 
Back
Top Bottom