Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Kabisa mkuu hii biashara kuisha ni mziki kwa mataifa yetu yakiafrika mana umaskini upo juu sana sasa kama tu kwa mataifa yaloendelea tu hali hii ipo bado tutaweza sisi huku.Mkuu kazi ya ukahaba ni ngumu sana wanaofanya wamejitoa hasa ni wazi hawana options
Ni wajibu wa serikali kuangalia kiini cha tatizo na kutoa sulihisho lenye tija kama kweli kuna ongezeko kiasi hicho serikali wakae nao waongee nao kujua elimu zao ujuzi walionao hii itasaidia sana kujua nini kinapelekea kufanya hiyo biashra na kuja na mwarobaini wa kudumu..japo hilo haliwezekani hata kwa 50%
Serikali itapunguza tu na itawasaidia wale ambao wamekosa ajira ila kwa wale wanafanya kwa hulka binafsi ni ngumu sana.