Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Mfano wa ushoga kwenye Mada ya ukahaba? That's insanity simamia kimoja unataka tuzungumzie kuhusu ushoga tuongelee ushoga unataka tuongelee ukahaba basi tuongelee ukahaba sio una-mix mara ushoga mara ukahaba unatafuta sympathy ya kutete mada jua kua sababu kuu ya ukahaba ni Ufukara na umasikini, mabinti wengi wa kutoka Maisha ya kimasikini ndio wanaoangukia huko taja mtoto wa kibopa yoyote mwenye ukwasi wa kutosha ambae anauza Mbunye alafu Mimi nikuoroshee watoto wa Masikini ambao wanauza Mbunye sababu ya umasikini walionao
Nimekupata mkuu tuendelee na mjadala
 
Mfano wangu ni kastory karefu kidogo, kuna kipindi nasoma chuo nilijaribu kurequest escort mtandaoni tukakubaliana dau lak4 per show(sikuwa serious just kujaribu)

Basi akaniambia tuma nauli, ili kuonesha nipo vizuri nikamtumia 20k nikampa location baada ya dk kadhaa kafika kwenda nakuta ndinga na bonge la pisi na miwani juu nikapiga naona anapokea wee nilitafuta njia ya kutolokea sijampokelea simu tena
Sasa wewe hivi haujui kwamba Magari yanakodishwa na nyumba zinapangishwa?

Mimi nimeshashuhudia makahaba wa hivyo wengi sana Magari wanakodisha sio kwamba ni ya kwao, jifunze kutoka kwangu unataka kusema hata zile apartment wanazopanga ni za kwao?

Eti nimeenda nyumbani kwa kahaba nyumba hio sio yake amepangisha tu kwa siku au kwa Mwezi hata HIO Gari hua wanakodisha per day hata wewe unaweza ukakodisha Gari ukaenda kuosha viwanja na hao ni wale ambao ni angalau Ila sababu kuu ni umasikini usione anatembelea Gari ukahisi ni tajiri nyuma ya pazia hujui hujui haujui
 
Ukimdhibiti muuzaji(mwanamke) automatically biashara itakufa ila ukimdhibiti mnunuaji(mwanaume) as long as muuzaji bado yupo basi biashara itaendelea kuwepo tu. Angalia mfano biashara ya madawa ya kulevya wauzaji wanadhibitiwa kwa kuweka sheria na adhabu kali wakibainika kwa sababu hawa ndio chanzo cha tatizo lakini watumiaji wanachukuliwa kama waathirika tu ambao wanahitaji msaada wa kupelekwa hospital au rehab.
Upo sahihi mkuu kazi inabaki kwenye kumdhibiti muuzaji ila kwa ulivyosema nakuunga mkono
 
Hio kitu haifi labda wadhibiti umasikini na Ufukara kwanza apart from that ni useless facts hakuna kingine mambo yataendelea kubakia hivyo hivyo, kahaba atafuti kufikishwa kileleni au namna gani kahaba anatafuta Pesa sababu ya kutafuta Pesa ni kwamba yeye ni Masikini fukara hana Pesa, niishie hapo mkubari mkatae jibu ndio hilo mkitaka kudhibiti ukahaba 100% anzeni na kudhibiti Ufukara na umasikini usioshikika kwanza baada ya hapo hutomuona kahaba kamwe
 
Sasa wewe hivi haujui kwamba Magari yanakodishwa na nyumba zinapangishwa?

Mimi nimeshashuhudia makahaba wa hivyo wengi sana Magari wanakodisha sio kwamba ni ya kwao, jifunze kutoka kwangu unataka kusema hata zile apartment wanazopanga ni za kwao?

Eti nimeenda nyumbani kwa kahaba nyumba hio sio yake amepangisha tu kwa siku au kwa Mwezi hata HIO Gari hua wanakodisha per day hata wewe unaweza ukakodisha Gari ukaenda kuosha viwanja na hao ni wale ambao ni angalau Ila sababu kuu ni umasikini usione anatembelea Gari ukahisi ni tajiri nyuma ya pazia hujui hujui haujui
Sikupingi mkuu katika sababu kuu hiyo ipo lakini kuna zingine mfano tu ni uweze kuangalia kati ya makahaba wa mjini na wale wanawake wa kijijini ni nani masikini zaidi?

Kwanini pamoja na umasikini wao bado hawapo tayari kujiuza?

Na kingine angalia nchi zilizoendelea utakuta ukahaba upo wa kiwango cha juu kwanini?

Kwahiyo na tabia nazo ni chanzo kikuu cha ukahaba
 
Wewe una uhakika kijijini umefika na haujakutana na kahaba? MIMI nimefika vijijini huko makahaba wapo popote yaan sitaki kusema sana Ila jua makahaba wapo popote utakapoenda iwe MJINI au iwe kijijini kote kote wapo, jifunze zaidi utaelewa
 
Sasa wewe hivi haujui kwamba Magari yanakodishwa na nyumba zinapangishwa?

Mimi nimeshashuhudia makahaba wa hivyo wengi sana Magari wanakodisha sio kwamba ni ya kwao, jifunze kutoka kwangu unataka kusema hata zile apartment wanazopanga ni za kwao?

Eti nimeenda nyumbani kwa kahaba nyumba hio sio yake amepangisha tu kwa siku au kwa Mwezi hata HIO Gari hua wanakodisha per day hata wewe unaweza ukakodisha Gari ukaenda kuosha viwanja na hao ni wale ambao ni angalau Ila sababu kuu ni umasikini usione anatembelea Gari ukahisi ni tajiri nyuma ya pazia hujui hujui haujui
Mifano ipo mingi sema hapa huwezi kumtaja mtu directly ila kwa wanaopoa pisi nzuri zenye kazi zao wanaelewa haya acha hivyo vidada poa vya uswazi vya 2,000-50,000
 
Na kingine angalia nchi zilizoendelea utakuta ukahaba upo wa kiwango cha juu kwanini?

Kwahiyo na tabia nazo ni chanzo kikuu cha ukahaba
Makahaba hao wa hizo Nchi una uhakika gani kua ni matajiri? Bro jifunze zaidi huko unaposema Nchi zilizoendelea pia kuna Masikini wa kutupwa namaanisha wa kutupwa
 
Wewe una uhakika kijijini umefika na haujakutana na kahaba? MIMI nimefika vijijini huko makahaba wapo popote yaan sitaki kusema sana Ila jua makahaba wapo popote utakapoenda iwe MJINI au iwe kijijini kote kote wapo, jifunze zaidi utaelewa
Sawa ila bado haijustify kuwa umasikini ndiyo chanzo pekee cha ukahaba kuna masikini wengi tu na bado hawajiuzi
 
Mifano ipo mingi sema hapa huwezi kumtaja mtu directly ila kwa wanaopoa pisi nzuri zenye kazi zao wanaelewa haya acha hivyo vidada poa vya uswazi vya 2,000-50,000
Ndio ujue chanzo cha yote ni umasikini hizo Pisi unazosema zina kazi zao na kazi zao unazozisema zinaeleweka Ila tambua chanzo ni umasikini wewe acha ubishi hauelewi ndio maana Ila siku ukielewa utanielewa zaidi
 
Sawa ila bado haijustify kuwa umasikini ndiyo chanzo pekee cha ukahaba kuna masikini wengi tu na bado hawajiuzi
Nimekwambia asilimia kubwa ni Masikini na chanzo kinachosabisha wengi waingie huko sio kupenda Ila asilimia kubwa chanzo ni umasikini na Ufukara uliotukuka, mark my words chanzo ni umasikini na Ufukara uliotukuka sio kingine
 
Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume

Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji

Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.

Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?

Nawasilisha
Tafuta dawa ya kukata libido kwa wanaume. Mengine yote ni porojo tu. Kama libido ipo, huduma ya ukahaba itaendelea kuwepo tu. Vinginevyo tumia vitisho vya kidini na kisheria ili kupunguza kidogo.
 
Makahaba hao wa hizo Nchi una uhakika gani kua ni matajiri? Bro jifunze zaidi huko unaposema Nchi zilizoendelea pia kuna Masikini wa kutupwa namaanisha wa kutupwa
Sema unaendesha mjadala kwa kubishana mimi sipo kwa ajili ya mabishano na pia sijapinga hoja yako

I guess wewe ni wa kigoma(jokes)
 
Sio wa Kigoma Ila ujumbe umekufikia fanya research yako upya tembelea kule walipo au watembelee wale uwahoji vizuri watakupa ABC za nini chanzo n I'm telling you 99% watakwambia chanzo ni umasikini ndio uje hapa na andiko Jipya ukiwa na Solution watakayokupa wao wenyewe sio solutions zako wewe wao ndio wanajua solutions ni nini sio wewe
 
Tafuta dawa ya kukata libido kwa wanaume. Mengine yote ni porojo tu. Kama libido ipo, huduma ya ukahaba itaendelea kuwepo tu. Vinginevyo tumia vitisho vya kidini na kisheria ili kupunguza kidogo.
Kwanini vitumike vitisho na si utungaji na utekelezaji wa sheria wezeshi mimi nafikiri iwe hivyo
 
Sio wa Kigoma Ila ujumbe umekufikia fanya research yako upya tembelea kule walipo au watembelee wale uwahoji vizuri watakupa ABC za nini chanzo n I'm telling you 99% watakwambia chanzo ni umasikini ndio uje hapa na andiko Jipya ukiwa na Solution watakayokupa wao wenyewe sio solutions zako wewe wao ndio wanajua solutions ni nini sio wewe
Hilo la umasikini sijalipinga mkuu na ndio maana ukisoma andiko langu nimeuliza kuwa wanawake wawezeshwe ili kupunguza ukahaba au wanaume waache kununua malaya ili biashara ife?

Means kumwezesha mwanamke ni pamoja na kumpunguzia hali ngumu ya maisha au kumpa mbadala tofauti na biashara ya ngono
 
Ndio maana nikakwambia ukikutana nao ukamhoji mmoja baada ya mwingine watakupa solutions sio hizo solutions zako yaan zinaweza zikawa hata haziwahusu wao wana solutions zao wao km wao na solution moja wapo watakayokwambia wengi ni kutoka katika umasikini wakitolewa kwenye umasikini wanaacha hio shughuli mara moja, wanatolewajwe kwenye umasikini hapo ndio ukae kwa kutulia uchukue notes watakachokwambia sio wewe kujitungia solutions zako je km hawazihitaji hizo solutions zako na wanaona hazina msaada kwao?

Fanya research upya uje na andiko lingine Jipya
 
Ukisoma heading tu utagundua sijaja na solution ila nimeuliza solutions

Ila nashukuru kwa kunipa changamoto ya kuresearch zaidi ndio uzuri wa mijadala kama hii
 
Mkiacha kununua biashara itakoma according to member hapo juu
Vp kwa wanaouza indirect?

Au Okay Malaya maanake nini?

Kuna wayu wanauziwa mpaka kwenye ndoa zao vip na hawa nao?

Malaya sasa hivi wanapewa mpaka madeal na makampuni still bado wanauza,wengine wamejificha kwenye bongo movie wapo kibao wanawauzia watu wakubwa na wanasiasa,wanaitwa wadangaji na madalali wao ndio hawa machawa. Kuna teuzi kwenye vyama hivi vya siasa,sijui ubunge wa viti maalum na baadhi ya nafasi nyingine, inasemekana kuna wengine mpaka watoe ndio wanapewa na wengine huwa nyumba ndogo za wanasiasa wenye vyeo vyamani. Hii biashara ipo kwenye form mbalimbali.

Kitu chochote kinaanzia kwenye malezi na uwajibikaji ukichemka kwenye malezi, basi huwezi kuzuia tabia yoyote mbovu,tatu kama mzazi mjengee mtoto hofu ya dini basi.So Malezi,kuwajibika na hofu ya Mungu basi ndipo utaweza kulimaliza tatizo.

Swali na kuuliza kwa kuitizama hii jamii,wewe unaona ipo vizuri kwenye Malezi,Uwajibikaji na kuwa na hofu ya Mungu? Mimi sioni ndio maana naona ngumu hii biashara kuisha.
 
Back
Top Bottom