Eagle girl
JF-Expert Member
- May 1, 2024
- 299
- 462
Ni kweli Kuna muda wazazi ni muhimu sana kufwatilia mienendo ya kijana kipindi Cha ukuaji maana ni kipindi hatari sanaNi kuwa tunakwepa ukweli ila suala la maadili sio suala la hiyari ni lazima nguvu itumike
Kuna wakati kijana akiingia kwenye adolescent aga hashikiki hapa kama yupo kwenye familia legelege anapotea mazima