Ipi ni njia sahihi ya kupima uwezo wa akili ya mtu?

Ipi ni njia sahihi ya kupima uwezo wa akili ya mtu?

Ukiona umepost kitu then umepata likes nyingi/chache, hapo rudi kwenye ulichopost angalia maudhui yake utapata jibu la akili za watu walivyo
 
Nahisi hapo ni vitu viwili.
Moja, ni weledi wake katika kitu alichobobea, kama vile udaktari wake, ualimu wake au uwakili wake.
Pili, ni mafanikio binafsi aliyonayo, mfano kuwa na mke mwema, watoto wenye maadili, nyumba nzuri, gari (kama kipato kinaruhusu) na kuwajali wazazi wa pande mbili ( upande wa mme na mke kama wapo), ndugu, jamaa na marafiki.
 
Habari wakuu
Ipi ni njia sahihi ya kutambua akili ya mtu
Mwenye akili anabuni na kuzalisha vitu.
Mwenye akili hufurahia kutoa huduma kwa jamii.
Kusoma sana sio kipimo cha akili.Akili haipatikani shuleni.Kusoma sana ni kipaji cha kukariri vitu bila kusahau.
Ni kipaji kama cha muziki tu.
Ila waliosoma wamefanikiwa kuweka kanuni za mchezo na kwa hiyo wao ndio wanatambuana kama watu wenye akili
 
Back
Top Bottom