Nahisi hapo ni vitu viwili.
Moja, ni weledi wake katika kitu alichobobea, kama vile udaktari wake, ualimu wake au uwakili wake.
Pili, ni mafanikio binafsi aliyonayo, mfano kuwa na mke mwema, watoto wenye maadili, nyumba nzuri, gari (kama kipato kinaruhusu) na kuwajali wazazi wa pande mbili ( upande wa mme na mke kama wapo), ndugu, jamaa na marafiki.