Ila tuseme ukweli jamani.,,,wake za watu waliowengi wanakigawa mbaya aisee😔 mi nadhani tatizo ni kuingia kwenye ndoa kwa sababu fulani binafsi na siyo upendo..,,yaan ukimpenda mtu ni lazima utaona kinyaa kuingiza mbegu za mwanaume mwingine..,,lakini kuna wanachepuka ili kupata hela ya vikoba na na wengine ili kupata hela ya kulelea watoto Baada ya kukosa huduma kutoka kwa mume. Mwenyezi Mungu aingilie kati hizi ndoa.🙏🏽
Kwangu naona inachangiwa na vitu vingi.few to mention,
1-kutojua ndoa ni nini?
Ndoa sio gauni toka ufaransa wala suti toka ufaransa.wengu wanaoa/kuolewa kwa ajili ya "showcase"
2-Malezi.
Mvulana na msichana wamesoma kindergarten -mpaka chuo kikuu bording.nyumbani wakirudi ni mwezi au wiki kadhaa tu.Ndoa ni jukumu tunalojifunza kwa actual experience.binti anajifunza kuhudumia mume kupitia namna anavyomuona mama anafanya na kijana anajifunza kuhudumia mke kupitia experience ya baba.sasa hajakaa nyumbani,hajakaa na shangazi akaelezwa ya "kuelezwa",unategemea nini?.hakuna chuo wala shule inayofundisha ndoa.
"Life style" hasa la kishua na usasa ni chanzo cha migogoro
3-matarajio makubwa(beeing too optimistic ) Vijana wanaingia kwenye ndoa wakijiandaa zaidi kupokea huduma za ndoa na si kutoa huduma za ndoa.ndoa sio one way traffik bali ni two way trafik.ni rahisi kukuta vijana wanasema mume/mke hanifanyii hiki au hiki lakini muulize we unatoa nini?
Mume:atakwambia natoa hela/mahitaji
Mke;atakwambia nampa "papuchi"
Sasa hivi inamaana huyu binti alikuwa ni homeless au yatima kwamba wewe ni sponsor?
Haya upande wa pili,pussy(sex)is the cheapest thing katika ndoa.ukiwa na hela au confidence tu huwez kosa sex pleasure.you are not the first to give and you won't be the last.na sex sio life threatening in case kuna kina "pornography"
Kwahiyo my dear
To yeye hayo ni machache kwa sasa ila ntaandika baadae kidogo.napenda sana ndoa na nachukia mno ndoa