mimi sina shida na parachichi, lisiwe tu la mwanaume[emoji23]
Bora wewe umenena yaliyo ya kweli.
Shida ya wabongo wengi sisi ni wanafki sana aiseeee, yaani hapa utakuta watu kibao mishipa ya shingo imewasimama wanalikandia parachichi, ila simu zao zimejaa video na koneksheni za maparachichi.
Hao wadada huku mitaani kila unaemuweka mbuzi kagoma ukiangalia begi zipu unaiona iko wazi haifungi, sasa unajiuliza hao watu wanaoharibu na kuzikata hizi zipu za mabegi ni kina nani mbona humu kila mmoja anagoma hajawahi kufungua zipu?
 
unafki mwingi kwa wabongo😂
 
Kwangu nadhani ni pale anaye mtu mwenye mvuto na aliyekamilika atakapo nifuata inbox ,barabarani au popote na kuaniambia anataka kunifanya mapenzi bila mimi kumuanza hiyo ndio nayo itaka , uwiiii mbona hata pesa nia toa sababu nitakuwa nime data ,nimetamani sana kutongozwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…