No 7 labda uwe tajiri kama trump ununue ndege yako 😃
 
Huwa unasema hakuna namna utaridhika na mwanamke mmoja kwa maana hata upewe yote nje utatoka tu asa inakuaja tena useme tunasababisha mchepuke? Hiyo ni hulka yenu wacha visingizio
Tatizo linakuja kama jamaa alivyosema utataka kujaribu vitu mke hatakuoa ndio hapo unalazimika kwenda nje.

Mbona wee ukinipa nitakavyo natulia tuu besty. 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…