And after fulfilling all these fantasies, there is a day you'll realize emptiness and void in your life.

Hakuna jipya chini ya jua. Hata watu wa Sodoma na Gomorah pia walikuwa na sexual fantasies zaidi ya hizo zako na walijitahidi sana mpaka wakizitimiza. Wapo walio-fantasize kulana hadharani, kama vile sokoni na walifanya hivyo.
Miongoni mwao wapo walio-fantasize kufanya zinaa na wanyama na walifanya. Pia wapo walio-fantasize kufanya zinaa na mama zao au baba zao, kaka au dada zao, wajomba au shangazi zao, bibi au babu zao na zaidi ya yote hayo walifanya.

Baada ya kutimiza sexual fantasies zao bado hawakuridhika na chochote kilichokuwa mbele yao. Siku walipowaona Malaika wa MUNGU, wakazi hawa wa Sodoma na Gomoroha wakafantasize kufanya zinaa na Malaika wa MUNGU, lakini, hawakufanikiwa, siku hiyo ndiyo ilikuwa siku yao ya mwisho duniani. Wote waliangamizwa kwa mawe ya moto yaliyotoka angani yakinyesha kama mvua!

Je, wewe mleta mada na wenzako wenye sexual fantasies mnatofauti gani na watu wa Sodoma na Gomoroha?? Ikiwa wao waliangamizwa kwa moto wewe na wenzako mtaangamizwa kwa moto wa namna gani siku ile ya hukumu??

Huenda watu wa Sodoma na Gomoroha watajitetea siku ya hukumu kwa kusema, wao hawakupewa Injili wala Torati na hawakumfahamu KRISTO.

Lakini, wewe uliyepewa Injili na Torati, KRISTO, unazisikia habari zake kila siku, lakini bado unapuuzia kwa kuiweka Injili pembeni na kubeba "sexual fantasies" kichwani, unafikiri ni adhabu gani utakayopewa?

MUNGU hadhihakiwi, ole wenu kizazi cha sexual fantasies. Kama hamtatubu na kuacha uovu huu, amini, nawaambia, adhabu iliyotengwa kwa ajili ya watu kama ninyi haivumiliki.

Huo mwili ulionao siyo mali yako. Mwili huo ni mali ya MUNGU naye amekupa huo "mwili" uutumie kama atakavyo MUNGU na siyo kama utakavyo wewe. Kila auchafuae mwili wake kwa zinaa, mwili uliochafuliwa utachomwa moto!

Mwenye masikio na asikie.
 
Mnaogopa sheria za Serikali kuliko sheria na Amri za MUNGU aliyeumba dunia?
Kizazi kichafu na cha zinaa, kinaogopa wanadamu kuliko kumwogopa MUNGU.
Ole wenu!!!!
Sheria za mungu hazina nguvu juu ya sheria za serikali mkuu lipo wazi hilo
 
🤣🤣🤣 Huyo ni wewe tu hapo kula tigo yake kama ndo alianza stori hizo anataka afukuliwe mtaro. Hapo mzabzab mbuzi kafia kwa muuza supu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…