Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

Simu yangu ya kwanza motorola

Smartphone yangu ya kwanza kutumia niliipenda kuliko demu wangu iliitwa NOKIA SYMBIAN mwaka 2010View attachment 2239342
Hdi na quote hii comment ndo natumia hyo symbian S60..au nokia 5800 express music,sound yake kwenye music ni balaa...hii simu nilununua elf 30 but whatsapp ishakua uot dated
 
Philips sijui ngapingapi huko!,ikafata Huawei zile za kufunua ilikuwa inatumia line ya ttcl tu!,ilikuwa na gemu la mwizi nilikuwa nalipenda hata hivyo wakati huo nilikuwa bado sijakuwa kihivyo japo kuwahi kutumia simu kwangu naona imekuwa na benefit
 
Kumbe we wa juzi juzi...hivi kuna simu za kishua zilizotamba kuzidi brand ya sony ericoson,lg na motorola hasa ile l6 au l7.....baadae zikaja blackberry sijui
 
Kumbe we wa juzi juzi...hivi kuna simu za kishua zilizotamba kuzidi brand ya sony ericoson,lg na motorola hasa ile l6 au l7.....baadae zikaja blackberry sijui
Simu za kishua ni nokia hata bei!
 
Philips sijui ngapingapi huko!,ikafata Huawei zile za kufunua ilikuwa inatumia line ya ttcl tu!,ilikuwa na gemu la mwizi nilikuwa nalipenda hata hivyo wakati huo nilikuwa bado sijakuwa kihivyo japo kuwahi kutumia simu kwangu naona imekuwa na benefit
Lile game mwizi mara apande ngazi daah umenikumbusha mbali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siemens a70 kama sikosei, zilikuwa promosheni ya voda... enzi hizo hakuna bando.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…