T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Mi mzima kabisa !habari ya Sunday!Mambo poa tu vipi mzima wewe mkuu
Dah mi namshobokea🙄 haya ngoja nitulie b😑na wewe kichwa maji wangu😉unamshobokea sana af wala hakushobokei. Penda unapopendwa
Kwamba wasukuma tupo vizuri kwenye hiyo mambo....Mbona unaguna?
Poa mzima wewe!
Vizuri sana kama wewe ni mzima kabisaMi mzima kabisa !habari ya Sunday!
Huamini hahaKwamba wasukuma tupo vizuri kwenye hiyo mambo....
Mzima mimi sana tu mkuu
Njoo nikupe!Starehe yangu ni kuwa na pesa/dough hata nisipozitumia ila raha ya kuziona tu whether cash at hand am Bank nakua relaxed. Ila sasa ndiyo sina kabisa🤔
Ila zinaenda pamoja sijabadilisha mkuu! Ila umekumbukaje kama nilisema hivo dah[emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣Eeh kwenda kwani naniliu yako ya gold bana usinichoshe😀
Umetisha sana mkuu😀Tehteh mimi ni encyclopedia inayotembea mkuu(najipa maujikooooooo).
Mkuu you serious? Watu tuko vibaya ujue na January hii yenye siku 90😀Njoo nikupe!
Tayari tupo siku ya 88 usijali hata ukiamua kufunga kavu utavuka tu! Lakini Kama hali ni mbaya kihivyo basi tutafutane!Mkuu you serious? Watu tuko vibaya ujue na January hii yenye siku 90😀
Yaani tangu tulivosherekea new year hadi leo tar 24 tu aargh! Ila usijali mkuu siko vibaya sanaa ntatoboa tu siku 90 hizi. Thank you.Tayari tupo siku ya 88 usijali hata ukiamua kufunga kavu utavuka tu! Lakini Kama hali ni mbaya kihivyo basi tutafutane!
Hebu eleza maana ya starehe kwanzaMm huenda sijui vizuri, ila ulichoandika ww ukidai n binafsi yako siyo starehe hiyo ni furaha yako. Bado hatujajua na hujatwambia kipi ni starehe yako.
Kuna
STAREHE
FURAHA
Kiswahili ni kigumu bhajameni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]