Ipi ni starehe yako

Ipi ni starehe yako

Starehe yangu ni pale ninaposikia ex wang anataka turudiane mkuu
 
Movies, games, music na kudrive sema tu ndio hivyo sina 🚗
 
Tayari tupo siku ya 88 usijali hata ukiamua kufunga kavu utavuka tu! Lakini Kama hali ni mbaya kihivyo basi tutafutane!
Yaani tangu tulivosherekea new year hadi leo tar 24 tu aargh! Ila usijali mkuu siko vibaya sanaa ntatoboa tu siku 90 hizi. Thank you.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mm huenda sijui vizuri, ila ulichoandika ww ukidai n binafsi yako siyo starehe hiyo ni furaha yako. Bado hatujajua na hujatwambia kipi ni starehe yako.
Kuna
STAREHE
FURAHA
Kiswahili ni kigumu bhajameni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hebu eleza maana ya starehe kwanza

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom