Hongera mkuu.Starehe yako ni nzuri.tunashare hiyo starehe.Ila mimi napenda sana kulala.Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.
Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.
Tufunguke wadau.
Naongeza jitihada kwa kile nnachokifanya! Pia nategemea kuwa na other sources of income(biashara nk). Ipo siku ntakua na dough za kutosha kabisaπͺUna mipango gani ya kupata dough?
AhsanteKila la kheri.
Sio kuomba saa 9 usiku kama kawaida yako?Kusafiri, kunywa bia , kuvuta bangi, ugoro sometimes, kugonga watoto wakali, kula , kulala.
Starehe yangu ni kuwa na pesa/dough hata nisipozitumia ila raha ya kuziona tu whether cash at hand am Bank nakua relaxed. Ila sasa ndiyo sina kabisaπ€
Kina tofauti ya starehe na furaha. Yaani kuona familia inapata mahitaji ni starehe,Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.
Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.
Tufunguke wadau.
Nilitarajia kukutana na hili jibu humu na kweli limetimia.Kugegeda
ππ ndiyo mbona nimeweka starehe yangu hapo mkuu!Kugegedwa si starehe yako Best? π
Yaani tangu tulivosherekea new year hadi leo tar 24 tu aargh! Ila usijali mkuu siko vibaya sanaa ntatoboa tu siku 90 hizi. Thank you.
Umekaa week 4 bila gegedeo mkuu??! KwaniniDuh! Wiki nne bila gegedo? ππππ
Starehe yangu ni kuwa na pesa/dough hata nisipozitumia ila raha ya kuziona tu whether cash at hand am Bank nakua relaxed. Ila sasa ndiyo sina kabisa[emoji848]
Umeona eeh! Dough ndiyo kila kitu mkuuUnakosaje pesa Mamilo(Financial Services)[emoji23]
BTW,Pesa ni chombo ya fundi-inasmooth mambo mob saana kwa hii universe[emoji385]
Umekaa week 4 bila gegedeo mkuu??! Kwanini