Ipi ni starehe yako

Ipi ni starehe yako

Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.

Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.

Tufunguke wadau,
1. Vichekesho ndio kilakitu kwangu. Hasa wakati wa kupumzika. Mfano Kama Sina video za comedy huwa nasoma Comment za JF huko lazima nitatoa stress.
2. Napenda sanaaaa GAMES na nimebobea huko.
 
Back
Top Bottom