Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

@ Extrovert: Naomba uniruhusu niku PM mkuu!
 
L



Kwa ufahamu wako unadhani IQ test ni academic test sivyo?[emoji28][emoji1787][emoji23]
Acha papara dogo, jifunze kuwa na subra.
Mihemko itakuumbua aisee
Huna lolote nakumbuka huko nyuma tumewahi bishana sana kwenye mada flani karibu pm tufanye ligi za kiume barabarani majibu uyalete hapa jf kwa wenzako mimi ni dogo sawa ila umenipita miaka tu nothing else unajionaga master hapa jf kumbe huna kitu takataka kama takataka nyingine[emoji41]
 
Hah hah haaaa. Hoja hujibiwa kwa hoja, sio matusi, dhihaka wala kashfa.
Tuliza papara, acha kupelekeshwa puta na hisia, wapende hata ambao wanakuudhi, kamwe baraka hazitoondoka nyumbani kwako.
Samehe badala ya kutukana.
Be blessed
Sikufunzwa kuheshimu wanaojifanya wanaelewa kila kitu kumbe in real life ni takataka kama takataka nyingine hoja yangu nimekuambia karibu tufanye ligi majibu uyalete hapa jf au hata gari huna mkuu unabwabwaja tu kufurahisha watu hapa jf[emoji23]
 
Hii mada ya hizi gari utofauti naona ni kwenye suspension zake. Athletes suspension zake ni stiff wakati royal suspension zake ni soft kidogo pia engine size moja ni 2.5l na athlete ni 3.0l. Ila tofauti zingine ni muundo wa gari lenyewe kuanzia ndani kuja nje.
 
Hz gari zinakatisha uhai wa vijana wengi wadogo i don't knw why?
Gari nyepesi sana kuchanganya na inashawishi sana ukiwa barabarani.. nguvu na speed kali sana.
Wajuzi wanasema ili uimudu vizuri isiwe gari yako ya kwanza au ya pili kuendesha. Means uwe mzoefu wa kutosha kwenye magari.
Vijana wanaanza kazi fasta kanunua hiyo ndinga...enda kula bata mtungi wa kutosha...unarudi safari ndefu nyt kali unategemea nn?
 
Weee ni mzoefu sasa imagine ndo kijana kaanza maisha kanunua hiyo kitu kwenda kula nayo bata.
Wajuzi wanasema ukitaka kuendesha hiyo gari isiwe gari yako ya kwanza au ya pili
 
Kuwahi kufika nyumbani πŸ™„
 
Weee ni mzoefu sasa imagine ndo kijana kaanza maisha kanunua hiyo kitu kwenda kula nayo bata.
Wajuzi wanasema ukitaka kuendesha hiyo gari isiwe gari yako ya kwanza au ya pili
Vijana huwa hawasumbui akili ya kufikiria wanapo endesha na ku note tabia za gari, katika mazingira tofauti tofauti. Mtu hajawai notes tabia ya gari flani inapokuwa kwenye zaidi ya 120+ na inapokuwa chini 120-.. anapuyanga tu, Msikanyo πŸ˜€ anashika akama ana mtomasa demu wake, kwanini asikufe au kupatwa na ajari
 
Eeh M/Mungu naomba uniondoleee Kiburi na Majivuno ni sumu katika ustawi wa jamii.....Ndugu zangu tupunguze viburi na majivuno wala havina umuhimu kwenye maisha utajikuta unaishia pabaya.
Wenye cadillac escalade ,etutumetulia tu tuna watazama tu matajiri wanavyo pigana ngumi za pua
 
Mkuu uko sahihi 120%.
 
Engine zote sawa. Yoyote kati ya hizo yaweza kuwa 2.5L 4gr or 3.0L 3gr. Tofauti kazielezea Extrovert vizuri sana.
In short Athlete ni sport, Royal ni luxury/grown up version.
 
uwe unatumia hand brake au parking brake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…