Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

Kuna jamaa yangu ana E- Class W210 model za 1998-2002 huwa anaitumia Mara chache baada ya kutishwa kuhusu spare anaiuza bei ya kawaida Sana saizi kahamia mazima kwa wajapani.
Hii Mercedes-Benz ambayo Mjerumani alipuyanga. Iliwashushia hadhi.
 
Hii Mercedes-Benz ambayo Mjerumani alipuyanga. Iliwashushia hadhi.
Mkuu kwaiyo hizo W210 hazikuwa vizuri Sana, au zilikuwa matatizo sana.
Hiyo gari ya jamaa ni namba DK lakini tangu mwaka jana wanunuzi wa Benz hawapatikani hata aliposhusha Bei.
 
Mkuu kwaiyo hizo W210 hazikuwa vizuri Sana, au zilikuwa matatizo sana.
Hiyo gari ya jamaa ni namba DK lakini tangu mwaka jana wanunuzi wa Benz hawapatikani hata aliposhusha Bei.
Hazikuwa na quality ya Mercedes ingawa zilikuwa imara sana. Haipati wateja coz it's too old.
Sasa hivi hata W211 watu hawanunui wanashusha W212 ambazo ziko vizuri sana.
 
Tofauti zinazoonekana kwa macho ni front grill, tail lights rims & interiors.

1.Athlete grill yake ni ya mesh au chekeche while royal saloon grill yake ni ya horizontal stripes...
Anyway napenda Royal maana ina sex room kubwa sana ukiwa na mnyama wako hapo ndani ni kwichikwichi. Sema Athlete ina muonekano mzuri sana ngoja vyuma vikiachia nanunua zote.
 
Gari nyepesi sana kuchanganya na inashawishi sana ukiwa barabarani.. nguvu na speed kali sana.
Wajuzi wanasema ili uimudu vizuri isiwe gari yako ya kwanza au ya pili kuendesha. Means uwe mzoefu wa kutosha kwenye magari.
Vijana wanaanza kazi fasta kanunua hiyo ndinga...enda kula bata mtungi wa kutosha...unarudi safari ndefu nyt kali unategemea nn?
Ina maana kwa mtu anaeendesha kwa mwendo wa wastani mpaka 100 ni nzuri hasa wanawake sababu hawapendi soeed sana
 
By the way naomba ligi na wewe mkuu advantage nayokupa nitakuwa naendesha huku nimefumba macho[emoji41][emoji41] watu tupo na matrophy kibao kwenye shelves unasema tatizo ni madereva mwendawazimu wewe wabongo tumejaaliwa maneno mengi afu utakuta hata gari huna
MKUU UMEUA, HAHAA
 
Nilicho notes na hiki, zinakimbia sana na zikiwa zimetulia ( zipp stable ). Ila sasa brake kali zinapokuwa kwenye speed kali kwa madereva wadogo ambao macho juu hawana skilis, ndio zinapo waacha hapo na kuwamalizia hapo. Mala kadhaa nimeisha kimbiza Athlete tp 160 to 180.. nilipo jaribu kupiga brake ndio nikaona hiyo kitu, inakuwa kama inataka kukutupa hivi 😀😀😀
Nimekuelewa vizuri,nilikuwa najiuliza tatizo ni Nini?,nimepata darasa
 
Nilicho notes na hiki, zinakimbia sana na zikiwa zimetulia ( zipp stable ). Ila sasa brake kali zinapokuwa kwenye speed kali kwa madereva wadogo ambao macho juu hawana skilis, ndio zinapo waacha hapo na kuwamalizia hapo. Mala kadhaa nimeisha kimbiza Athlete tp 160 to 180.. nilipo jaribu kupiga brake ndio nikaona hiyo kitu, inakuwa kama inataka kukutupa hivi 😀😀😀
Bila shaka hiyo gari imenyanyuliwa kwa kutumia spacers. Kuna baadhi ya bima wakikuta gari yako umeweka spacers haulipwi. (Sio njia sahihi ya kunyanyua gari).
 
Back
Top Bottom