Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

oyaaa, me namsubiria huyo mwamba aliyesema "tumia hand break au parking" * mshale ukiw kwenye 120 au 180...πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™Œ
adden ni mtu muhimu aje atupe skills mpya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. maana hadi kichwa jana kiliuma nilifiria sana anatumiaje Hand break au parking kwenye 180.. nikakosa majibu, naamini hapa atakuja kutufuta tongo tongo
 
Mkuu wewe ni dereva? If yes, elezea kwa ufupi hiyo hand brake unaitumiaje tumiaje.

Unaposema tu tumia hand brake kirahisi rahisi tu utaingiza vijana mkenge.
Huyu anawatakia mabaya vijana wenzetu, maana ku handle +120kph wengi hawawezi.

Yeye anataka watumie hand brake au parking brake Kama wapo kwenye racing/drag race. Gari za racing Zina hand brake za hydrolic ukivuta inarudi yenye Sasa gari za kawaida Zina hand brake za cable ukivuta hairudi upo speed 100kph unataka ufanye Kama Jason Stratam uichukue Kona kibabe na Athletes namba DV gari itazunguka hutoamini na inakushinda unakutana na Fiat la Madina limebeba contena brake zake za kutafuta kwa tochi.

Kushika hand brake na kuachia ukiwa katika Kona hutumika kwenye Side attack drift almaarufu Kama kuchukua Kona nzima nzima. Ukiwa katika mwendo wa kawaida ukiivuta kidogo hand brake itageuka uelekeo tofauti na dereva haraka atakuwa anapingana kwa kuzungusha usukani na hapo gari itageuka yote kwa kukata Kona.

Don't try this.
 
oyaaa, me namsubiria huyo mwamba aliyesema "tumia hand break au parking" * mshale ukiw kwenye 120 au 180...πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™Œ
Huyo mwamba ana weka Death trap watu wajaribu waumie, hiyo akafanye kwenye formula 1 car.

Kwenye magari ya Rally mtu awezi hata kufanya huo mchezo akiwa 120, lazima apige downshift mpaka gear 2/3 na speed iwe walau 60kph ndio atavuta handbrake kwenye Kona na kuendelea kupanga gear zaidi.
 
Huyu anawatakia mabaya vijana wenzetu, maana ku handle +120kph wengi hawawezi.

Yeye anataka watumie hand brake au parking brake Kama wapo kwenye racing/drag race. Gari za racing Zina hand brake za hydrolic ukivuta inarudi yenye Sasa gari za kawaida Zina hand brake za cable ukivuta hairudi upo speed 100kph unataka ufanye Kama Jason Stratam uichukue Kona kibabe na Athletes namba DV gari itazunguka hutoamini na inakushinda unakutana na Fiat la Madina limebeba contena brake zake za kutafuta kwa tochi....
Nimejifunza maujanja hapa.
 
Huyo mwamba ana weka Death trap watu wajaribu waumie, hiyo akafanye kwenye formula 1 car.

Kwenye magari ya Rally mtu awezi hata kufanya huo mchezo akiwa 120, lazima apige downshift mpaka gear 2/3 na speed iwe walau 60kph ndio atavuta handbrake kwenye Kona na kuendelea kupanga gear zaidi.
Kumbe jamaa ni muuaji wa kukusudia. Dah!
 
Sawa kama upo hivyo maana huwa nakusomaga uko negative sana against watendaji wa serikali na hata kuwaombeaga mabaya.
Baya kama lipi? Sina Vita na wana CCM, Nina vita na CCM kwa ufisadi mkubwa kilioufanyia nchi hii.
CCM imeshindwa kusimamia sheria kikamilifu
 
Jana nimemkuta mmbongo mmoja kapaki AUDI A8, ilibidi nisimame kuitazama kama dk 5 hivi, nikajipiga kifuani kwa hasira nikasema one day yes..

Jana nimemkuta mmbongo mmoja kapaki AUDI A8, ilibidi nisimame kuitazama kama dk 5 hivi, nikajipiga kifuani kwa hasira nikasema one day yes..
Tunajua mnazipenda ila kwenye thread mnaziponda!
 
Back
Top Bottom