Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Kuzitumia kufanya nini boss mkuu ?uwe unatumia hand brake au parking brake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzitumia kufanya nini boss mkuu ?uwe unatumia hand brake au parking brake
Anashindwa hata kumpa heshima yake Bujibuji .. kuna watu humu unawapa heshima zao hata kama wamekuzidi.. alie kutangulia katangulia hata kama ume mpitaNimemshangaa sana huyo jama aliyekua anabishana na Bujibuji kwa majivuno,kibri na ujeuri...Wenye pesa hawana ulimbukeni ule kabisa.
anhaa okay nimekupata mzee wanguLoyal = Soft Suspension kwahiyo ni ya Luxury.
Athlete = Stiff suspension kwahiyo ni Sport...
BMW labda 7 Series!!Chukua BMW 5 series.. Gari ya mzungu utafurahi
That's my babe! Umeelezea vizuri japo sijaelewa sana hizo terms za magari mara solid spokes,mesh dah, ila nimeipenda hiyo Crown Royal family muundo wake😋😘Tofauti zinazoonekana kwa macho ni front grill, tail lights rims & interiors...
My babez😻!That's my babe! Umeelezea vizuri japo sijaelewa sana hizo terms za magari mara solid spokes,mesh dah, ila nimeipenda hiyo Crown Royal family muundo wake😋😘
uwe unatumia hand brake au parking brake
My babez😻!
Royal family is fine but Athlete is Sexy! Ntakuchukulia Royal family just for lo
Nimemuuliza hapa anatumiaje hiyo hand brake na parking brake kwenye 180 au 160 .. naona kapiga kimyaMkuu wewe ni dereva? If yes, elezea kwa ufupi hiyo hand brake unaitumiaje tumiaje.
Unaposema tu tumia hand brake kirahisi rahisi tu utaingiza vijana mkenge.
Jana nimemkuta mmbongo mmoja kapaki AUDI A8, ilibidi nisimame kuitazama kama dk 5 hivi, nikajipiga kifuani kwa hasira nikasema one day yes..
Hivi kwenye upande wa siasa huwa unawapenda hata wanaokuudhi mkuu?Hah hah haaaa. Hoja hujibiwa kwa hoja, sio matusi, dhihaka wala kashfa.
Tuliza papara, acha kupelekeshwa puta na hisia, wapende hata ambao wanakuudhi, kamwe baraka hazitoondoka nyumbani kwako.
Samehe badala ya kutukana.
Be blessed
Hahaha wabongo wabishi sana,wameshindwa kuleta Bugatti tu.Jana nimemkuta mmbongo mmoja kapaki AUDI A8, ilibidi nisimame kuitazama kama dk 5 hivi, nikajipiga kifuani kwa hasira nikasema one day yes..
😀😀😀 Mzee baba angekuwa hajakaza, mbona watu wangekuwa wameisha shusha chuma hiyo.. najua kuna watu wanakula timing ya kuingiza hiyo kitu, kuna watu wanapenda sifa za wao kuwa wa kwanza kuingiza gari flaniHahaha wabongo wabishi sana,wameshindwa kuleta Buggati tu.
Royal hazijawahi nivutia hata kidogo, Athlete huwa zinanidaka mtima wangu, japo mawavu yao wavu huwa yanakata stimu kwangu. Ila soon naondoka team japan.. mahaba yangu naona yanahamia kabisa kwa mjerumani 🥲. Mungu akijalia naanza na E classExtrovert kwenye Royal kuna Royal Saloon na Royal Extra, tofauti yake nini?
Waenda nunu Royal au Athlete ?anhaa okay nimekupata mzee wangu