Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
adden ni mtu muhimu aje atupe skills mpya ππππ.. maana hadi kichwa jana kiliuma nilifiria sana anatumiaje Hand break au parking kwenye 180.. nikakosa majibu, naamini hapa atakuja kutufuta tongo tongooyaaa, me namsubiria huyo mwamba aliyesema "tumia hand break au parking" * mshale ukiw kwenye 120 au 180...π π π π π π
Thank you babe! I love you ππMy babezπ»!
Royal family is fine but Athlete is Sexy! Ntakuchukulia Royal family just for love
Sana... Nduo maana FaizaFoxy Ni mfuniko nami ni kopoHivi kwenye upande wa siasa huwa unawapenda hata wanaokuudhi mkuu?
Huyu anawatakia mabaya vijana wenzetu, maana ku handle +120kph wengi hawawezi.Mkuu wewe ni dereva? If yes, elezea kwa ufupi hiyo hand brake unaitumiaje tumiaje.
Unaposema tu tumia hand brake kirahisi rahisi tu utaingiza vijana mkenge.
Huyo mwamba ana weka Death trap watu wajaribu waumie, hiyo akafanye kwenye formula 1 car.oyaaa, me namsubiria huyo mwamba aliyesema "tumia hand break au parking" * mshale ukiw kwenye 120 au 180...π π π π π π
Vipi mahondaw umeachana nae nini.. maana hau mm c.c tenaNatumae mleta mada umepata muongozo...
Nimejifunza maujanja hapa.Huyu anawatakia mabaya vijana wenzetu, maana ku handle +120kph wengi hawawezi.
Yeye anataka watumie hand brake au parking brake Kama wapo kwenye racing/drag race. Gari za racing Zina hand brake za hydrolic ukivuta inarudi yenye Sasa gari za kawaida Zina hand brake za cable ukivuta hairudi upo speed 100kph unataka ufanye Kama Jason Stratam uichukue Kona kibabe na Athletes namba DV gari itazunguka hutoamini na inakushinda unakutana na Fiat la Madina limebeba contena brake zake za kutafuta kwa tochi....
Kumbe jamaa ni muuaji wa kukusudia. Dah!Huyo mwamba ana weka Death trap watu wajaribu waumie, hiyo akafanye kwenye formula 1 car.
Kwenye magari ya Rally mtu awezi hata kufanya huo mchezo akiwa 120, lazima apige downshift mpaka gear 2/3 na speed iwe walau 60kph ndio atavuta handbrake kwenye Kona na kuendelea kupanga gear zaidi.
ππππ Huwa namchora tu, na avatar zao wakiwa wana enjoy, ila wanaoneka couple yao ipo flesh sana na wanaishi na watu poa labda jini mkata kamba akawachanie mkeka πππHahaha kumbe huwa unamchora tu
Utanunua Golf R, Golf GTI , BMW X6 au Menz S63 AMG ? πππMm nasoma comment za wenye magari.nikinunua gari yangu na mm nitaanza kubishana na akina Rrondo,Extrovert,Bujibuji,Holyman na wengine.
π πππ team mafisi...Vipi mahondaw umeachana nae nini.. maana hau mm c.c tena
Kama kwenye ile avatar ndio mahondaw mwenyewe ni shida.. πππ.. pale unakabizi kabisa Athlete ya 2010π πππ team mafisi...
π π π π π π acha mchizi aenjoy life...Kama kwenye ile avatar ndio mahondaw mwenyewe ni shida.. πππ.. pale unakabizi kabisa Athlete ya 2010
Mwamba ana deserve ππ.. acha ale mema ya nchi, uzuri wanaoneka watu poa sanaπ π π π π π acha mchizi aenjoy life...
Baya kama lipi? Sina Vita na wana CCM, Nina vita na CCM kwa ufisadi mkubwa kilioufanyia nchi hii.Sawa kama upo hivyo maana huwa nakusomaga uko negative sana against watendaji wa serikali na hata kuwaombeaga mabaya.
Jana nimemkuta mmbongo mmoja kapaki AUDI A8, ilibidi nisimame kuitazama kama dk 5 hivi, nikajipiga kifuani kwa hasira nikasema one day yes..
Tunajua mnazipenda ila kwenye thread mnaziponda!Jana nimemkuta mmbongo mmoja kapaki AUDI A8, ilibidi nisimame kuitazama kama dk 5 hivi, nikajipiga kifuani kwa hasira nikasema one day yes..