Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

Kuna jamaa yangu ana E- Class W210 model za 1998-2002 huwa anaitumia Mara chache baada ya kutishwa kuhusu spare anaiuza bei ya kawaida Sana saizi kahamia mazima kwa wajapani.
Hii Mercedes-Benz ambayo Mjerumani alipuyanga. Iliwashushia hadhi.
 
Hii Mercedes-Benz ambayo Mjerumani alipuyanga. Iliwashushia hadhi.
Mkuu kwaiyo hizo W210 hazikuwa vizuri Sana, au zilikuwa matatizo sana.
Hiyo gari ya jamaa ni namba DK lakini tangu mwaka jana wanunuzi wa Benz hawapatikani hata aliposhusha Bei.
 
Mkuu kwaiyo hizo W210 hazikuwa vizuri Sana, au zilikuwa matatizo sana.
Hiyo gari ya jamaa ni namba DK lakini tangu mwaka jana wanunuzi wa Benz hawapatikani hata aliposhusha Bei.
Hazikuwa na quality ya Mercedes ingawa zilikuwa imara sana. Haipati wateja coz it's too old.
Sasa hivi hata W211 watu hawanunui wanashusha W212 ambazo ziko vizuri sana.
 
Tofauti zinazoonekana kwa macho ni front grill, tail lights rims & interiors.

1.Athlete grill yake ni ya mesh au chekeche while royal saloon grill yake ni ya horizontal stripes...
Anyway napenda Royal maana ina sex room kubwa sana ukiwa na mnyama wako hapo ndani ni kwichikwichi. Sema Athlete ina muonekano mzuri sana ngoja vyuma vikiachia nanunua zote.
 
Anyway napenda Royal maana ina sex room kubwa sana ukiwa na mnyama wako hapo ndani ni kwichikwichi. Sema Athlete ina muonekano mzuri sana ngoja vyuma vikiachia nanunua zote.
vyuma kulainika sio rahisiπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚
 
Ina maana kwa mtu anaeendesha kwa mwendo wa wastani mpaka 100 ni nzuri hasa wanawake sababu hawapendi soeed sana
 
MKUU UMEUA, HAHAA
 
Nimekuelewa vizuri,nilikuwa najiuliza tatizo ni Nini?,nimepata darasa
 
Bila shaka hiyo gari imenyanyuliwa kwa kutumia spacers. Kuna baadhi ya bima wakikuta gari yako umeweka spacers haulipwi. (Sio njia sahihi ya kunyanyua gari).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…