DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 676
Mwili ni jumba, nafsi ni processing unit, roho ni nishati inayoiwezesha processing unit ifanye kazi kwenye jumbaNaomba kujua utofauti na uhusiano wa Mwili, Nafsi na Roho.
Vipo wapi na vinatendaje kazi katika mwili wa mwanadamu.
Nawasilisha.
Umejibu Vizuri sana na ama kwa hakika Uko sahihi...Swali zuri hili na mara nyingi tunakuwa hatuwezi maswali kama haya kwa sababu tunajifanya tunajua kwa hio tukiuliza maswali kama haya tunajiona wajinga,kwa hio tunabakia hatua Liz I ile tuwe miongoni mwa wanaojua.
Roho, nafsi na mwili ni vitu tafauti na kila kimoja kina kazi yake ili kumtimiza mwanadamu awe kamili,ukikosa kimoja kama ya hivyo vitatu, uwawadamu wako utakuwa mashakani.
Tuanze na mwili
Mwili ni asili yake ni hapa duniani au kwenye dimension hii au realm hii ya dunia au existence, hapa ndio pajama pekee mwili unapoweza ku-exist
Kazi ya mwili kubwa ni ku-host nafsi,yaani nafsi inauvaa mwili na kuishi kwenye mwili, yaani kama vile unapokumbwa na shetani, Anakuwa ameuvaa mwili na anajitambulisha kama yeye na sio wewe tena. Na nafsi inafanya hivyo in a permanent basis yaani kwa namna ya kudumu.
Na mwili ni kama mashine inayomfanya kwa ajili ya nafsi kuweza kuishi kwenye dunia hii,realm au dimension hii.
Mwili kazi yake ni kukusanya information kupitia hisia zake kuu tano,kuona,kusikia,kuonja,kuhisi.
Sasa twende kwenye roho au kwa kiingereza soul
Soul ni kiunganishi baina ya nafsi na mwili, soul au roho ndio muezeshaji mkubwa wa nafsi, soul ndio mkalimani anaetafsiri kwa nafsi kila kitu kinachofanywa na mwili hapa duniani,
Ndani ya soul kuna emotions,intellect and will, sijui kwa Kiswahili nisemeje hapa,mi sijui tunaitaje emotions kwa Kiswahili
Mwili kupitia hisia zake kuu tano unakusanya information na kupeleka kwenye soul kwa njia ya intellect(akili)
Akili inaweza kufanya kwa kwa kupitia hisia za mwli tu bila ya hisia za mwili akili haina uwezo wa kufanya kazi,macho ya kuona kitu akili ina-process na kutafsiri ni nini macho yameona kupitia kumbukumbu za akili.
Maskio yakisikia kitu akili ina-process kisha inatafsiri nini maskio yamesikia
Na hisia nyengine kazi ndio hio hio
Sasa tuingie kwenye nafsi au sprit
Sprit ndio uhai wenyewe,yaani sprit ndio mtu mwenyewe naejelewa au kujitambua,utambulisho wa mtu hautokani na mwili wala roho wala akili
Utambulisho wa mtu mimi ni nani unatokana na nafsi au sprit
Kwenye sprit au nafsi kuna mambo matatu makuu
Kuna intuition,consciousness na submission to the source au God
Intuition ni uwezo wa kujua kitu bila ya kujua umejuaje, inatokea unajua tu bila kuambiwa ua kufundishwa
Consciousness ndio uhai wenyewe na kujitambua
Na submission to the source ni kusalimu amri kwenye chanzo cha sprit au nafsi na. Hanson hiki tunakiita mungu au God
Vitu hivi vyote vipo kwenye nafsi au sprit
Mi nadhani niishie hapa kama kunakuwa na Shaka au you nguvu tutauoizana
Asante mkuu.Umejibu Vizuri sana na ama kwa hakika Uko sahihi...
ila unachanganya kitu kidogo..
Maelezo mengime uko sawa kabisa...Nitaongeza baadae nikiwa nimekaa sehemu nzuri
- Soul (Nefesh in hebrew)=Nafsi
- Spirit (Pneumo in Greek or Rua'ch in hebrew) =Roho
- Body= Mwili..
Nikiri kwamba nimesoma bandiko lako...Asante mkuu.
Inawezekana tunakoseana kwenye lugha tu,
Binadamu amejengeka kwenye sehemu tatu
Spirit,soul and body
Mie sprit ndio nafsi which the inner part
Soul ni roho ambayo ipo Kati ya mwili na spirit
Na kisha ndio mwili
Kuna uzi flani hapa nilichangia mada kwa kiingereza labda isome ingeweza kunielewa vizuri kwa kiingereza
Uzi huu hapa chini
What is spiritual awakening?
What is spiritual awakening? Spiritual Awakening means that you have realized that you are an Immortal and Eternal Spiritual Being, not a Mortal Human Body. Where do we come from? God, or Divine Intelligence, is not a Person but a Neutral Power with the Potential for Unlimited Creation. God...www.jamiiforums.com
-Sprit has three parts, consciousness,intuition and submission to the source(God)
-soul has three parts, emotions,intellect/mind and will(I will do/ I will not do)
-body have all the senses, smell,hear, see, touch,feel,etc
The way it is, is that spirit is the godly part in human and the soul is the connection between spirit and body, the soul function is to make sense to the spirit all things the body doesHivi vitu ilipaswa watu wavipatie uzoefu kwa kufikika kabisa na sio maelezo ya kwenye maandishi tu , inabaki kuwa riwaya mpka mtu anakufa hawawahi kupata uzoefu wa kwenye mwili na nnje ya mwili ,akiwa bado kwenye maisha ya uhai wa mwili.Umejibu Vizuri sana na ama kwa hakika Uko sahihi...
ila unachanganya kitu kidogo..
Maelezo mengime uko sawa kabisa...Nitaongeza baadae nikiwa nimekaa sehemu nzuri
- Soul (Nefesh in hebrew)=Nafsi
- Spirit (Pneumo in Greek or Rua'ch in hebrew) =Roho
- Body= Mwili..
Bado ni riwaya ya sungura na fisiMWANZO 2:7
"BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa kiumbe chenye nafsi hai"
Mkuu, kupitia nukuu iliyopo hapo juu kutoka katika maandiko utaona kuwa, mwili wa binadamu ni umbile la nje la viungo vyake vinavyooneka katika ulimwengu wa nje. Bali roho ni umbile la ndani la viungo vyake katika ulimwengu wa roho usioweza kuonekana kwa macho ya kimwili. Muunganiko wa maumbile ya nje na ndani ndiyo hukifanya kiiumbe kuonekana kuwa chenye nafsi hai katika sura ya dunia. Uwepo wa hitilafu kubwa katika mwili wa binadamu ama kiumbe chochote, na kutenganishwa na roho yake, basi nafsi yake uhesabika kuwa imekufa.
Tunaweza kupata picha nzuri kupitia kifaa chochote kile cha umeme. Kifaa hicho honekana hakifanyi kazi yake pasipo kuunganishwa katika umeme ambayo ni nishati hai. Muunganiko wa kifaa husika na umeme unaotiririka katika "components" zake za ndani ndipo kinapoonekana kuweza kufanya kazi yake iliyokusudiwa.
Muundaji wa kifaa amekipa mwili wake wa nje unao onekana, lakini pia kuna uhitaji wa mtiririko wa nishati ya umeme ndani yake ambao hauonekani kwa macho ya kibinadamu, ili kifaa cha umeme kifanye kazi zake sawasawa. Uwepo wa hitilafu kubwa katika kifaa ama pasipo kuunganishwa katika umeme, kifaa uhesabika ni kibovu, au kimekufa.
Mwili ni jumbaNaomba kujua utofauti na uhusiano wa Mwili, Nafsi na Roho.
Vipo wapi na vinatendaje kazi katika mwili wa mwanadamu.
Nawasilisha.
Kweli Kabisa na ndo maana wengi huwa ni wabishi sana kwa sababu wamejaza Intellectual Minds..Hivi vitu ilipaswa watu wavipatie uzoefu kwa kufikika kabisa na sio maelezo ya kwenye maandishi tu , inabaki kuwa riwaya mpka mtu anakufa hawawahi kupata uzoefu wa kwenye mwili na nnje ya mwili ,akiwa bado kwenye maisha ya uhai wa mwili.
Kuna siku tuliwahi jadiliana hapa hili jambo la astral travel kama sikosei 🤔🤔🤔Kweli Kabisa na ndo maana wengi huwa ni wabishi sana kwa sababu wamejaza Intellectual Minds..
Na shida kubwa Experience nayo kuipata Ni mpaka commitments Huwezi kumwambia Mtu anayejiona kashika Dini ajicommit ili Aende kwenye Astral Plane ataona kama unamwambia aende kwa Mapepo..
Na ndo maana Viti vingi watu hushindwa kuelewa Sana kwa sababu ya Kujifungia kwenye Box..
Me napenda kuliita Schrödinger box na wao ni Kama Schrödinger cat Wamekufa huku wanajiona wanaishi kwa wakati mmoj a
Hayo yote mbona yanafanyika kimwili tu ya yanaelezeka kikawaida tu bila kuhusisha nafsi na roho , bado hujaeleza nafsi na roho ni nin.Hizi ni sehemu tatu zinazojitegemea,
Nafsi inahusika na mambo yafuatayo
Utaishi
Hisia
Ufahamu
Akili
Roho
Ibada worship
Ushirika
Hisia za rohoni
Dhamini
Nafsi huwasiliana na mwili au body kupitia milango mitano ya fahamu mitano
Macho
Masikia
Ngozi.
Unapoona jambo unaliona kupitia macho ,macho hupeleka taarifa hiyo kwenye nafsi yako,nafsi hupeleke taarifa hiyo kwenye roho yako.vile vile taarifa yoyote inayotoka kwenye ulimwenyu wa roho hupitia kwenye roho yako kwanza ,Kisha hupokelewa kwenye nafsi ndipo utailewa kwenye mwili na nyama
Hii ni kwa mujibu wa mtazamo wako.Roho na nafsi ni viungo na dhana za kufikirika tu.
Havipo.
Hiyo roho kama ipo eleza ina muonekano upi na uliiona wapi ukajua ipo?Hii ni kwa mujibu wa mtazamo wako.