DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Yeah nakumbuka You told me Umeshaachana nalo siku hiziKuna siku tuliwahi jadiliana hapa hili jambo la astral travel kama sikosei 🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah nakumbuka You told me Umeshaachana nalo siku hiziKuna siku tuliwahi jadiliana hapa hili jambo la astral travel kama sikosei 🤔🤔🤔
No nafanya sna mkuu , ila natumia tu kama sehemu yangu yaku refresh tu fikra zangu , mda mwingne kama starehe tu.Yeah nakumbuka You told me Umeshaachana nalo siku hizi
Ooh sawa Bhasi nikiquotes Vibaya kwamba hufanyi kabisa umeachaNo nafanya sna mkuu , ila natumia tu kama sehemu yangu yaku refresh tu fikra zangu , mda mwingne kama starehe tu.
Mjadala kwenye huu uzi nadhani unatuhusu ambao tunatambua roho&nafsi.Hiyo roho kama ipo eleza ina muonekano upi na uliiona wapi ukajua ipo?
Vinginevyo roho hiyo ni dhana ya kufikirika tu Imagination just an illusion.
Mjadala ukishawekwa JF ni wa wote.Mjadala kwenye huu uzi nadhani unatuhusu ambao tunatambua roho&nafsi.
Na tukupuuze tu,Mjadala ukishawekwa JF ni wa wote.
NotedSwali zuri hili na mara nyingi tunakuwa hatuwezi kuuliza maswali kama haya kwa sababu tunajifanya tunajua kwa hio tukiuliza maswali kama haya tunajiona wajinga,kwa hio tunabakia hatuulizi ili tuwe miongoni mwa wanaojua.
Roho, nafsi na mwili ni vitu tafauti na kila kimoja kina kazi yake ili kumtimiza mwanadamu awe kamili,ukikosa kimoja kama ya hivyo vitatu, uwawadamu wako utakuwa mashakani.
Tuanze na mwili
Mwili asili yake ni hapa duniani au kwenye dimension hii au realm hii ya dunia au existence, hapa ndio pahala pekee mwili unapoweza ku-exist
Kazi ya mwili kubwa ni ku-host nafsi,yaani nafsi inauvaa mwili na kuishi kwenye mwili, yaani kama vile unapokumbwa na shetani, Anakuwa ameuvaa mwili na anajitambulisha kama yeye na sio wewe tena. Na nafsi inafanya hivyo in a permanent basis yaani kwa namna ya kudumu.
Na mwili ni kama mashine inayomfanya kazi kwa ajili ya nafsi kuweza kuishi kwenye dunia hii,realm au dimension hii.
Mwili kazi yake ni kukusanya information kupitia hisia zake kuu tano,kuona,kusikia,kuonja,kuhisi,kunusa
Sasa twende kwenye roho au kwa kiingereza soul
Soul ni kiunganishi baina ya nafsi na mwili, soul au roho ndio muezeshaji mkubwa wa nafsi, soul ndio mkalimani anaetafsiri kwa nafsi kila kitu kinachofanywa na mwili hapa duniani,
Ndani ya soul kuna emotions,intellect and will, sijui kwa Kiswahili nisemeje hapa,mi sijui tunaitaje emotions kwa Kiswahili
Mwili kupitia hisia zake kuu tano unakusanya information na kupeleka kwenye soul kwa njia ya intellect(akili)
Akili inaweza kufanya kwa k upitia hisia za mwli tu bila ya hisia za mwili akili haina uwezo wa kufanya kazi,macho yakiona kitu akili ina-process na kutafsiri ni nini macho yameona kupitia kumbukumbu za akili.
Maskio yakisikia kitu akili ina-process kisha inatafsiri nini maskio yamesikia
Na hisia nyengine kazi ndio hio hio
Sasa tuingie kwenye nafsi au sprit
Sprit ndio uhai wenyewe,yaani sprit ndio mtu mwenyewe naejelewa au kujitambua,utambulisho wa mtu hautokani na mwili wala roho wala akili
Utambulisho wa mtu mimi ni nani unatokana na nafsi au sprit
Kwenye sprit au nafsi kuna mambo matatu makuu
Kuna intuition,consciousness na submission to the source au God
Intuition ni uwezo wa kujua kitu bila ya kujua umejuaje, inatokea unajua tu bila kuambiwa ua kufundishwa
Consciousness ndio uhai wenyewe na kujitambua
Na submission to the source ni kusalimu amri kwenye chanzo cha sprit au nafsi na. Hanson hiki tunakiita mungu au God
Vitu hivi vyote vipo kwenye nafsi au sprit
Nafsi au sprit haiwezi kuishi hapa duniani bila ya mwili na soul(roho) ndio mana mtu Akita mzee na mwili umechoka nafsi inaondoka na mwili unaparalaiz na haujiwezi tena na hicho ndio kifo.
Pia mwli ukipata majanga makubwa kama ajali na ukawa hauwezi tena kui-support nafsi dakika hio hio nafsi inaruka permanently na kuondoka na hicho ndio kifo
Kifo ni kufariki
Fariki maana yake ni kutenga,au tunasema kufarakana maana ni kutengana
Kwa hio maana yake ni nafsi inafarakana na mwili hio ndio kufariki au kufa
Mi nadhani niishie hapa kama kunakuwa na Shaka tutaulizana
Mada hii nlielezea kwa kina kidogo kwenye uzi huu hapa chini wa kiingereza
What is spiritual awakening?
What is spiritual awakening? Spiritual Awakening means that you have realized that you are an Immortal and Eternal Spiritual Being, not a Mortal Human Body. Where do we come from? God, or Divine Intelligence, is not a Person but a Neutral Power with the Potential for Unlimited Creation. God...www.jamiiforums.com
Yea! Inawezekana ikawa hivyo kwa mtazamo wako.Bado ni riwaya ya sungura na fisi
Chief Unauzungumziaje huu watu wanaita Ulimwengu wa Roho? Seems huko ndo kuna kila kitu.Kweli Kabisa na ndo maana wengi huwa ni wabishi sana kwa sababu wamejaza Intellectual Minds..
Na shida kubwa Experience nayo kuipata Ni mpaka commitments Huwezi kumwambia Mtu anayejiona kashika Dini ajicommit ili Aende kwenye Astral Plane ataona kama unamwambia aende kwa Mapepo..
Na ndo maana Viti vingi watu hushindwa kuelewa Sana kwa sababu ya Kujifungia kwenye Box..
Me napenda kuliita Schrödinger box na wao ni Kama Schrödinger cat Wamekufa huku wanajiona wanaishi kwa wakati mmoj a
💯Yea! Inawezekana ikawa hivyo kwa mtazamo wako.
Lakini suala ni mtu ana mtazamo upi katika kitu au jambo lolote kutokana na ufahamu wake binafsi. Ufahamu huu ni lazima urofautiane kupitia "factors" za kimazingira ama kiikolojia ambazo ndizo hu "shape" kile ambacho mtu ameaminishwa kuwa ni ukweli kwake, na hivyo naye hujikuta anaamini kuwa ndio ukweli wenyewe kwake pasipo kuwa na shaka yoyote ile.
Kwa hiyo basi haijalishi kuhusu kile nichoamini kuwa ni ukweli kwangu, kikashindwa kukushawishi wewe ili upate "equal understanding and my view". Kutofautiana kimtazamo ni kawaida katika maisha yetu ya kibinadamu, lakini cha muhimu ni kila mtu acheze michezo ama ligi yake kwa faida ama hasara yake mwenyewe.
Safi sana Faiza leo umejadili mada kwa utamu wake nimependa..Mwili ni hicho kiwiliwili chako chote.
Nafsi na roho ni kitu kimoja isipokuwa kuna majukumu ya roho na kuna majukumu ya kinafsi.
Majukumu ya kiroho ya kwanza ni yale uliyopewa toka kuumbwa kwako, nafsi ni yale mapya roho yako inayojifundisha kila siku unayoishi duniani.
Unaweza kuwa na nafsi zaidi ya moja kwenye kiwiliwili chako.
Majukumu ya mwili, nafsi na roho ni "mtambuka" yana muingiliano.
Elimu ya roho Mwenyezi Mungu kawapa wachache sana na kwa uchache sana.
Kingereza Roho ni "Spirit" na Nafsi ni "Psychology".
Kiarabu nafsi ni "nafs" na roho ni "ruh".
Ulimwengu Wa roho umetofautiana With different Dimensions..Chief Unauzungumziaje huu watu wanaita Ulimwengu wa Roho? Seems huko ndo kuna kila kitu.
Utasikia ukienda kwa watumishi Nabii au hata hawa waganga wanajua kila kitu kitu katika maisha yako na hata kukutabiria na ikawa kweli au kujua mtu ayawazayo
Naitaji somo hapo.
wewe uko physical mno. unaamini ili kitu kiwepo lazima ukione! na kama hukioni maana yake hakipo. huu ni ufahamu wa "mnyama wa kawaida". sisi ni watu wenye Uungu ndani yetu. hili jambo ni kubwa!Inakuaje kila mtu ana hizo mnazoita nafsi na roho alafu hakuna anaejua ,mpaka tuanze kusoma kwenye mavitabu na kupeana maelezo kuhusu vitu ambavyo kila mtu anavyo????
Yani ni sawa tuanze kujadili apa kuwa sisi tuna ulimi au hatuna kwa maelezo tu na kusoma vitabu !!!!!!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Bado haujaelezea zaidi ya kujisifia , asante kwa kushiriki🙏wewe uko physical mno. unaamini ili kitu kiwepo lazima ukione! na kama hukioni maana yake hakipo. huu ni ufahamu wa "mnyama wa kawaida". sisi ni watu wenye Uungu ndani yetu. hili jambo ni kubwa!
JESUS IS MESSIAH
Kuna yule jamaa alitabiri ajali ya ndege mwaka jana, Anajiita maharage nadhani...Mtafute yule akuelewesheBado haujaelezea zaidi ya kujisifia , asante kwa kushiriki[emoji120]
Yani nieleweshwe kuhusu roho wakati mnadai kila mtu ana roho ,utanieleweshaje kwa kitu ambacho tayari ninacho , huo ni mwanzo wa utapeli sasa🤔🤔🤔Kuna yule jamaa alitabiri ajali ya ndege mwaka jana, Anajiita maharage nadhani...Mtafute yule akueleweshe
Huku utaanzisha ubishani tu kama kawaida yenu.