Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

Hiyo roho kama ipo eleza ina muonekano upi na uliiona wapi ukajua ipo?

Vinginevyo roho hiyo ni dhana ya kufikirika tu Imagination just an illusion.
Mjadala kwenye huu uzi nadhani unatuhusu ambao tunatambua roho&nafsi.
 
Noted
 
Bado ni riwaya ya sungura na fisi
Yea! Inawezekana ikawa hivyo kwa mtazamo wako.
Lakini suala ni mtu ana mtazamo upi katika kitu au jambo lolote lile kutokana na ufahamu wake binafsi. Ufahamu huu ni lazima ufautiane kupitia "factors" za kimazingira ama kiikolojia ambazo ndizo hu "shape" fikra za kile ambacho mtu ameaminishwa kuwa ni ukweli kwake kutokana na makuzi yake, na hivyo hujikuta anaamini kuwa hiyo ndiyo ukweli wenyewe kwake pasipo kuwa na shaka yoyote ile.

Kwa hiyo basi haijalishi kuhusu kile nichoamini kuwa ni ukweli kwangu, kikashindwa kukushawishi wewe ili upate "equal understanding and my view". Kutofautiana kimtazamo ni kawaida katika maisha yetu ya kibinadamu, lakini cha muhimu ni kila mtu acheze michezo ama ligi yake kwa faida ama hasara yake mwenyewe.
 
THE FUNCTIONS OF
THE SPIRIT, THE SOUL, AND THE BODY

The body is the "world-consciousness," the soul is the "self-consciousness," and the spirit is the "God-consciousness." There are five organs in the body which afford man the five senses. This physical body enables man to communicate with the physical world. This is why it is called the "world- consciousness." The soul comprises that part in man known as the intellect, which makes man’s existence possible. The part of love generates affections toward other human beings or objects. Affections originate from the senses. All these are parts of man himself; they form the personality of man. Hence, they are called the "self-consciousness." The spirit is the part with which man communicates with God. With this part man worships God, serves Him, and understands his relationship with God. Hence, it is called "God-consciousness." Just as God dwells in the spirit, the self dwells in the soul, and the senses dwell in the body.

The soul is the meeting point; here the spirit and the body join. Man communicates with God’s Spirit and the spiritual realm through the spirit and receives and expresses power and life in the spiritual realm through this spirit. He communicates with the outside world of senses through the body; the world and the body interact with one another. The soul lies in between these two worlds and belongs to these two worlds. On the one hand, it communicates with the spiritual realm through the spirit, and on the other hand, it communicates with the physical world through the body. The soul has the power of self-determination; it can make decisions concerning the things related to it in the environment and can choose or reject them. It is impossible for the spirit to control the body directly; it requires a medium. This medium is the soul, which was produced when the spirit touched the body. The soul is in between the spirit and the body; it binds the spirit and the body together as one. The spirit can rule over the body through the soul and subject it under God’s power. The body can also induce the spirit through the soul to love the world.

Among the three elements of man, the spirit is joined to God and is the highest. The body is in contact with the material world and is the lowest. In between the two is the soul. It takes as its nature the nature of the other two. As such it becomes the linkage of the other two parts. Through the soul the two parts can fellowship with each other and can work together. The function of the soul is to maintain the spirit and the body in their proper order so that they will not lose their proper relationship with one another. In this way, the body, which is the lowest, will submit to the spirit, and the spirit, which is the highest, will be able to control the body through the soul. The soul is indeed the chief element in man. The soul looks to the spirit for the supply which the latter has received from the Holy Spirit and communicates to the body what it has received so that the body may partake of the perfection of the Holy Spirit and become a spiritual body.

(Spiritual Man, The (3 volume set), Chapter 1, by Watchman Nee)
 
Mwili ni hicho kiwiliwili chako chote.

Nafsi na roho ni kitu kimoja isipokuwa kuna majukumu ya roho na kuna majukumu ya kinafsi.

Majukumu ya kiroho ya kwanza ni yale uliyopewa toka kuumbwa kwako, nafsi ni yale mapya roho yako inayojifundisha kila siku unayoishi duniani.

Unaweza kuwa na nafsi zaidi ya moja kwenye kiwiliwili chako.

Majukumu ya mwili, nafsi na roho ni "mtambuka" yana muingiliano.

Elimu ya roho Mwenyezi Mungu kawapa wachache sana na kwa uchache sana.

Kingereza Roho ni "Spirit" na Nafsi ni "Psychology".

Kiarabu nafsi ni "nafs" na roho ni "ruh".
 
Chief Unauzungumziaje huu watu wanaita Ulimwengu wa Roho? Seems huko ndo kuna kila kitu.
Utasikia ukienda kwa watumishi Nabii au hata hawa waganga wanajua kila kitu kitu katika maisha yako na hata kukutabiria na ikawa kweli au kujua mtu ayawazayo
Naitaji somo hapo.
 
💯
 
Safi sana Faiza leo umejadili mada kwa utamu wake nimependa..
Japo mama yangu Nafsi Sio Psychology kwa kingereza ni Soul (Nafsi=Soul)

na ni kweli Katika Dini tulipewa Elimu chache sana kuhusu Roho,Mwili na nafsi..


Surah Ban-ilsrail aya ya 85-87...

(Quran 17:85-87)

"...Na wakikuuliza khabari za Roho (Spirit). Sema:
Roho (Spirit) ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ya Roho (Spirituality) ila kidogo tu. Na tungeli penda tungeli yaondoa tuliyo kufunulia. Kisha usingeli pata mwakilishi wa kukupigania kwetu kwa haya. Isipo kuwa iwe rehema itokayo kwa Mola wako MIezi. Hakika fadhila yake kwako ni kubwa.....
 
Ulimwengu Wa roho umetofautiana With different Dimensions..
Waganga wengi na watumishi wengi hawatumii Ulimwengu wa Roho wanatumia Telepath..
 
Inakuaje kila mtu ana hizo mnazoita nafsi na roho alafu hakuna anaejua ,mpaka tuanze kusoma kwenye mavitabu na kupeana maelezo kuhusu vitu ambavyo kila mtu anavyo????

Yani ni sawa tuanze kujadili apa kuwa sisi tuna ulimi au hatuna kwa maelezo tu na kusoma vitabu !!!!!!


[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
wewe uko physical mno. unaamini ili kitu kiwepo lazima ukione! na kama hukioni maana yake hakipo. huu ni ufahamu wa "mnyama wa kawaida". sisi ni watu wenye Uungu ndani yetu. hili jambo ni kubwa!

JESUS IS MESSIAH
 
wewe uko physical mno. unaamini ili kitu kiwepo lazima ukione! na kama hukioni maana yake hakipo. huu ni ufahamu wa "mnyama wa kawaida". sisi ni watu wenye Uungu ndani yetu. hili jambo ni kubwa!

JESUS IS MESSIAH
Bado haujaelezea zaidi ya kujisifia , asante kwa kushiriki🙏
 
Bado haujaelezea zaidi ya kujisifia , asante kwa kushiriki[emoji120]
Kuna yule jamaa alitabiri ajali ya ndege mwaka jana, Anajiita maharage nadhani...Mtafute yule akueleweshe

Huku utaanzisha ubishani tu kama kawaida yenu.
 
Kuna yule jamaa alitabiri ajali ya ndege mwaka jana, Anajiita maharage nadhani...Mtafute yule akueleweshe

Huku utaanzisha ubishani tu kama kawaida yenu.
Yani nieleweshwe kuhusu roho wakati mnadai kila mtu ana roho ,utanieleweshaje kwa kitu ambacho tayari ninacho , huo ni mwanzo wa utapeli sasa🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…