Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

Ulimwengu Wa roho umetofautiana With different Dimensions..
Waganga wengi na watumishi wengi hawatumii Ulimwengu wa Roho wanatumia Telepath..
Naomba pia maelezo ya utofauti wa ulimwengu wa roho na telepath. Naitaji kufahamu hili, maana wanasema ulimwengu wa roho ndo umebeba kila kitu kinachoonekana mwilini.
 
Apo tu ndio kuna leta shida unakuta wewe unayo then unakuja humu unajumuisha wote ukipingwa unaanza lia lia.

Hongera kwa kuwa na roho.
Sisi ambao tunajua tuna roho na wewe ambae unasema hauna nani yupo kulia lia hapa ?

Kama ni mambo ambayo hayakuhusu si ungepita kushoto utuache wenyewe ambao tunatambua haya.

Acha kutumia kichwa chako kama tanki la kuhifadhia mate.
 
Punguza hasira .
Sisi ambao tunajua tuna roho na wewe ambae unasema hauna nani yupo kulia lia hapa ?

Kama ni mambo ambayo hayakuhusu si ungepita kushoto utuache wenyewe ambao tunatambua haya.

Acha kutumia kichwa chako kama tanki la kuhifadhia mate.
 
Naomba pia maelezo ya utofauti wa ulimwengu wa roho na telepath. Naitaji kufahamu hili, maana wanasema ulimwengu wa roho ndo umebeba kila kitu kinachoonekana mwilini.
Telepath ni kumanipulate energy ili kuweza kuendana na You energy capability na kusend frequency kuweza kuisoma hiyo energy kwa level fulani..
Unajua In the universe we are all connected..
Kwa mfano unaweza kutumia Telapathic ability kumcontrol mtu matendo yake na vitu vyake na kujua hata mambo yake yote lakini bila kuingia Spiritual realm...

Kuna watu wana Ability Ambazo tunaziita Clairs..
Au Another Beyond senses..

kuna mtu anaweza kujua feelings za mtu na akakuambia huyu mtu ana matatizo kwenye familia na Ana shida maybe kazini na akakuambia mpaka sehemu anayoishi hii inaitwa Clairsentience...

na kuna.

Clairvoyance:
Clear seeing, the ability to gain information about an object, location, or event beyond normal human perception.

Clairaudience:
Clear hearing, the ability to perceive sounds or information beyond the scope of ordinary hearing.

Claircognizance:
Clear knowing, the ability to know things without having direct or obvious access to that knowledge.

Na zote hizi ni just Energy and Frequency manipulation na sio lazma uingie kwenye Spiritual Realm..

Japo kuna baadhi ya Information lazma uingie spiritual realm kama Past details na future details
 
Nafsi kwa kingereza inaitwaje
 
Uko sahihi kiongozi maelezo yake ni sahihi tafsiri ndio kidogo haijawa sawa nadhani atajifunza hilo
 
Swali zuri mkuu, manake hapa ndio tunapochanganywa ili tusielewane tunapojadiliana kuhusu uhalisi wetu binadamu.
Maana ya nafs ni self au awareness of self au conscious of one’s self, haya yote kwa ukamilifu wake ya I namaanisha spirit

Na maana ya soul ni ruh kiarabu au roho kiswahili
Na ukitazama maana ya spirit utakuta pia maana yake ni ruh kwa kiarabu na kwa Kiswahili ni roho, huu ni mkanganjiko

Sisi binadamu katika mafunzo yetu tunakuwa hatufundishwi kuhusu spirit kwa undani, mara zote huwa inatajwa tu, na ikitajwa huwa inaunganishwa na soul ili tufahamu kuwa spirit ni soul au binadamu ndio soul
Ngoja nifafanue hapa kidogo kwanini hatufundishwi hivi vitu
Kama nlivyosema katika hizo mada za awali kuwa mwanadamu ana sehemu tatu
Spirit,soul and body

Spirit ni sehemu ya ndani zaidi,soul ni sehemu ya kati na body ni sehemu ya nje

Spirit inapata informatin from the source (god) through intuition,spirit haiwezi kufundishwa kitu kutoka hapa duniani,inajua inchojuwa kwa kujua tu na sio kwa kufundishwa

Soul ipo kati ya body and spirit na ina uwezo wa kupata information kutoka kwenye sprit au body inategemea na Kipi kimewezeshwa mwanzoni, kwa mfano ulipozaliwa tu ni Kipi kimewezeshwa kwanza, soul kupitia intellect inaweza ku-adapt na mfumo wa mwanzo, ama mfumo utakuwa kutoka sehemu ya ndani au spirit au wa nje ambao ni body.

Katika mifumo yetu ya maisha spirit imeachwa na kufungiwa kabisa,mtu akizaliwa tu zinatumika hisia zake za mwili( maskio,macho,hisia,ku-taste na kunusa) ili kuingiza infomation akilini info ambayo ndio ina control mwanadamu kwenye maisha yake yote, na kama info hii sio sahihi au sio kweli inakuwa haiendani na spirit na kama haiendani na spirit mwanadamu anakuwa gerezani muda wote wa maisha, anakuwa hajui kitu chochote kwenye uhalisi wake anajua alivyofundiahwa tu.

Kwa ufupi spiritual knowledge inatoa uhuru na kumuwezesha mwanadamu na mafunzo yalotokana na body kama sio kweli ya a uwezo wa kumjandamiza mwanadamu
 
Hapo ni lugha tu, "soul" ndiyo hiyo hiyo "psychology".

Baadae kidogo ntakutumia video clip yenye chat itayoweza kukuonesha kiundani kutokeaa ushhidi wa kwenye Qur'an.

Uislam ndiyo pekee ulioenda deep sana kwenye somo hilo, ingawa waliopewa elimu hiyo ni wachache sana na kwa uchache sana, lakini wasomi wanajitahidi.

Wasomi maarufuwa Kiislaam ndiyo mabingwa elimu ya nafsi na ndiyo waliyoianzisha, kupitia Qur'an.

Hiyo video clip ni highly educative na inafukia misconceptions nyingi sana. Ngoja niitafute.

In shaa Allah ntaileta hapa watu wajionee darsa za mtandaoni anazosoma FaizaFoxy.
 
Ntafurah sana Dada faiza nikiiona hiyo Video Maana napenda sana kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…