Ipi njia nzuri ya kuweka akiba?

Ipi njia nzuri ya kuweka akiba?

Umekomaliza kishenzi mshikaji atume hela ya kununua viwanja.

Sijui unapigia upatu kikampuni chako.

Masuala ya kununua viwanja online bongo hii ni uxenge.

Nenda site, physically. Uone geological layout, nature of the soil, neighborhood nakadhalika.

Nje na hapo ni kubeti.
Huna akili pumbaavu.
 
Hili wazo ni zuri Sema bank nyingi hapa America hwana branch Tanzania, kuna kitu nimekifikiria sijui kama kitamake sense naweza kujitumia hela kwenye acc yangu ya Sh nikiwa hapa either kwa mpesa au worldremitly , kuna mtu amewahi kufanya hivyo?
Hiyo inafanyika vizuri ila asiwepo mtu anayeaccess account yako na ulimuachia kad tz
 
Kuna Baadhi ya wachangiaji wameshauri kuhusu fungi la 10. Nashauri Hilo fungu la kumi ni Bora ukawatumia wazazi wako kuliko kupeleka kanisani.
 
Wekeza Bob Achana Na UTT kanunue Ardhi Baada Ya Miaka 10 kapige Mnada. Utarejesha Majibu.
 
Hili wazo ni zuri Sema bank nyingi hapa America hwana branch Tanzania, kuna kitu nimekifikiria sijui kama kitamake sense naweza kujitumia hela kwenye acc yangu ya Sh nikiwa hapa either kwa mpesa au worldremitly , kuna mtu amewahi kufanya hivyo?
Tshs ina poteza thamani, hivyo ni bora uka hifadhi kwa Fedha za kigeni au dhahabu mwisho ni ardhi kama ukishirikisha ( rafiki na ndugu kwa pamoja wakununulie ardhi ) mmoja bila uthibiti chochote kinawezekana kupigwa au kupata
 
Fungua account CITIBANK ina ushirikiano na bank za Tz na fanya saving huko. Weka fixed account.

Siku hizi Citibank wanaruhusu retail accounts za watu binafsi? Nakumbuka zamani walikua na ushirika na Exim bank Kwa kuhudumia akaunti za watu binafsi, wao wakijikita kwenye akaunti za mashirika, taasisi na makampuni.

Changamoto yake kubwa ni kufungua account Tanzania akiwa nje ya nchi.

Benki nyingi unaweza kutuma pesa popote pale duniani.

Kama inawezekana, fanya maarifa upate akaunti ya USD Equity bank ( gharama za uendeshaji ziko chini sana. Hawana makato ya Kila mwezi) itakusaidia sana kudeposit pesa Yako kutoka akaunti Yako ya US.

Hii ni fursa benki zatu kuanza kufungua akaunti bila kwenda kwenye tawi husika.

Kuna benki Iko Marekani unafungua akaunti Yako online ukiwa hapa hapa na mambo yanaenda. Tatizo lake haipo Kwa ajili ya Kila mtu, ni ya watu flani.

Kama wao wameweza, naamini hata benki zetu tunaweza.
 
Back
Top Bottom