Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Nikweli Japo nimechukua A12 Sum ina gonga vizuri kazi zangu na inasimika sana na charge
Hii simu kukaa na chaji ni lazma sababu kwanza ina battery kubwa 5000mAh...pili processor yake sio power hungry ina performance avarage...tatu kioo chake sio FHD so inasukuma pixels chache...tatzo ka hzos simu zinaruns One UI core versions so huezi enjoy features za samsung kama secure folder nk
 
Kwa mnaosifia oppo na ndugu yake Vivo sifa zao ni hizi

1. WanaTangaza simu nzuri yenye specs kali kwenye media then wanazo hype zijulikane
2. Simu kali zinakuwa na availability ndogo na ngumu kupatikana
3. Then wanatengeneza simu mbovu nyingi za mediatek za ovyo kama p22 wanazijaza kibao mitaaani.
4. Wajinga waliwao, kwa kutumia hypes za point ya kwanza wa nanunua simu za point ya 3.

Usinunue simu kwa kuangalia brand tu bila kujiridhisha specs zake. Nenda China Plazza zimejaa kibao oppo na Vivo Ila 90% ni vimeo ukijichanganya tu una p22 kwa laki 4 ama 5.
Mkuu nikijisifu kwa kutumia Oppo hii nitakuwa sahihi walau [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_2021-04-04-16-58-34-04.jpg
 
Hii kwa kipindi chake unanunua ilikuwa simu kali, miaka kadhaa baadae ipo Samsung A02,
Ahaa mkuu A02 ina bei gani kwa sasa? [emoji16][emoji16] Ila mkuu hii simu naipendea kitu kimoja tangia niinunue mwaka 2018 mwezi wa 11 mpaka leo sijawahi kurestore na inasukuma mzigo fresh .
Haijawahi kuzingua kwa jambo lolote .
Na wakati nanunua niliinua kwa mtu .
 
Around laki 3, ila kwa sasa zipo better soc kuliko hio, hasa sd 662 kwa budget zetu hizi ndogo.
 
leo nina shida moja nahitaji msaada, shida yangu nahitaji hizi simu za smartkitochi ambacho kitakua na uwezo wa internet ya kasi ya 4g mzur sana... Sihitaj nikitumie kwa whatsapp, Instagram wala Facebook.. Main use hapa ni kuweka lain zangu ziwe active maan nina laini nyingi na kazi yake kubwa saana itakua kutumika kama modem kwenye Hotspot au USB tethering budget yangu haizid 60000tsh...ushauri tafadhari.
 
Hazina tofauti
Halafu hazifiki bei hiyo
 
mbona kama unataka kupigwa kinguvu??

au unataka mbili[emoji2][emoji2].
 
Back
Top Bottom