Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tujifunze kununua simu sawa na uwezo wetu...maana simu Kali kila siku zinazinduliwa....yaan ukinunua simu mwezi huu....mwezi unaofuata unakuta kuna flagship 10 za company tofautitofauti zimesha toka....[emoji848][emoji848][emoji848]...Hapa mnapeana maujinga tu, unakuta mtu matumizi yake ni social media, kupiga simu, sms na kupiga picha, unamshawishi anunue simu yenye ubora mkubwa tena inauzwa zaidi ya laki tano na halafu hiyo laki tano amejichanga sana mwishowe ananunua simu ili nae aonekane ana simu kali, HIVI WATANZANIA TUNAFELI WAPI????
Kwa namna hii umasikini hautaondoka kwetu hata kama tuko UCHUMI WA KATI
1.Redmi note 8 simu ya miaka miwili iliopita ilikuwa inauzwa 330,000 mpaka 400,000 sasa hivi used mtaani unaweza ukauza hata 300,000 na ukitaka hela ya haraka haraka labda 250,000 hivi. Hivyo siku zote ukichagua simu Nzuri utapata resale value kubwa, hivyo kama simu yako umeitunza vizuri ina maana kwa miaka 2 utakuwa umetumia value yake kwa 50,000 tu.Hapa mnapeana maujinga tu, unakuta mtu matumizi yake ni social media, kupiga simu, sms na kupiga picha, unamshawishi anunue simu yenye ubora mkubwa tena inauzwa zaidi ya laki tano na halafu hiyo laki tano amejichanga sana mwishowe ananunua simu ili nae aonekane ana simu kali, HIVI WATANZANIA TUNAFELI WAPI????
Kwa namna hii umasikini hautaondoka kwetu hata kama tuko UCHUMI WA KATI
Kioo michele michele.1.Redmi note 8 simu ya miaka miwili iliopita ilikuwa inauzwa 330,000 mpaka 400,000 sasa hivi used mtaani unaweza ukauza hata 300,000 na ukitaka hela ya haraka haraka labda 250,000 hivi. Hivyo siku zote ukichagua simu Nzuri utapata resale value kubwa, hivyo kama simu yako umeitunza vizuri ina maana kwa miaka 2 utakuwa umetumia value yake kwa 50,000 tu.
Imagine someone kanunua Tecno lake laki 2 ama 3 hata Gorilla glass Hana, baada ya mwaka ama miaka 2 kama itafika, imepasuka pasuka kila corner unakuta nusu ya value imeshapotea.
2. Umesema kupiga picha, kama kupiga picha ni matumizi yako simu gani ya bei rahisi inafaa? Simu ukiichallenge kidogo tu kupiga pazia jekundu linakuwa la pink? Iwe ni biashara ama hata matumizi binafsi camera decent inahitajika.
3.Hata social media kina insta na fb hitaji muhimu ni Display nzuri, mtu mwenye simu kubwa display 720p kioo Michele Michele na mwenye display kali ya Amoled experience wanayopata ni tofauti kabisa,
Kila mtu anajijua kipato chake kipo vipi, ila kuwa na simu nzuri kunaweza ongeza value kwenye biashara zako, kunaweza punguza muda wa kutroubleshoot kila saa, ni vizuri kwa Afya yako etc.
Kingine haya eye straining protection ya simu nzuri na hzo mchele mchele ni tofauti kabisa[emoji3]1.Redmi note 8 simu ya miaka miwili iliopita ilikuwa inauzwa 330,000 mpaka 400,000 sasa hivi used mtaani unaweza ukauza hata 300,000 na ukitaka hela ya haraka haraka labda 250,000 hivi. Hivyo siku zote ukichagua simu Nzuri utapata resale value kubwa, hivyo kama simu yako umeitunza vizuri ina maana kwa miaka 2 utakuwa umetumia value yake kwa 50,000 tu.
Imagine someone kanunua Tecno lake laki 2 ama 3 hata Gorilla glass Hana, baada ya mwaka ama miaka 2 kama itafika, imepasuka pasuka kila corner unakuta nusu ya value imeshapotea.
2. Umesema kupiga picha, kama kupiga picha ni matumizi yako simu gani ya bei rahisi inafaa? Simu ukiichallenge kidogo tu kupiga pazia jekundu linakuwa la pink? Iwe ni biashara ama hata matumizi binafsi camera decent inahitajika.
3.Hata social media kina insta na fb hitaji muhimu ni Display nzuri, mtu mwenye simu kubwa display 720p kioo Michele Michele na mwenye display kali ya Amoled experience wanayopata ni tofauti kabisa,
Kila mtu anajijua kipato chake kipo vipi, ila kuwa na simu nzuri kunaweza ongeza value kwenye biashara zako, kunaweza punguza muda wa kutroubleshoot kila saa, ni vizuri kwa Afya yako etc.
Wanakremu tu, hata sababu mtu hana. Ndo wale wanaosema sipendi kitu fulani ukimuuliza kwanini, anakuambia basi tuhuyu katoa reason with reference, sasa wewe unasema hamna simu humo... kweli mjingamimi wewe
Je samsung a3co unaionajeKwa Samsung around hio budget unapata A31, kwa muono wangu si simu nzuri kwa value ya pesa.
Kama unaweza kusubiri redmi note 10 pro ni simu nzuri, ama hata plain redmi note 10, zote zinakaa na Chaji na display nzuri kwa matumizi ya kila siku.
Kama Samsung ni priority subiria Galaxy A52 4G ambayo ndio imetoka, yenyewe pia specs zake ni nzuri sana, sema hii itabidi uongeze hela kidogo.
A30s? Kwa kiasi gani? Labda chini ya 350kJe samsung a3co unaionaje
Sure nimeuza note 8T kwa 320 nikaongeza 40 nimenunua note 10 sim nimekaa nayo toka2019 november1.Redmi note 8 simu ya miaka miwili iliopita ilikuwa inauzwa 330,000 mpaka 400,000 sasa hivi used mtaani unaweza ukauza hata 300,000 na ukitaka hela ya haraka haraka labda 250,000 hivi. Hivyo siku zote ukichagua simu Nzuri utapata resale value kubwa, hivyo kama simu yako umeitunza vizuri ina maana kwa miaka 2 utakuwa umetumia value yake kwa 50,000 tu.
Imagine someone kanunua Tecno lake laki 2 ama 3 hata Gorilla glass Hana, baada ya mwaka ama miaka 2 kama itafika, imepasuka pasuka kila corner unakuta nusu ya value imeshapotea.
2. Umesema kupiga picha, kama kupiga picha ni matumizi yako simu gani ya bei rahisi inafaa? Simu ukiichallenge kidogo tu kupiga pazia jekundu linakuwa la pink? Iwe ni biashara ama hata matumizi binafsi camera decent inahitajika.
3.Hata social media kina insta na fb hitaji muhimu ni Display nzuri, mtu mwenye simu kubwa display 720p kioo Michele Michele na mwenye display kali ya Amoled experience wanayopata ni tofauti etc.
Na hii ndio point yangu, kwa 40k tu umepata simu ambayo pengine utakaa nayo miaka 2 ijayo.Sure nimeuza note 8T kwa 320 nikaongeza 40 nimenunua note 10 sim nimekaa nayo toka2019 november
Mkuuu nilimaanisha a03 coA30s? Kwa kiasi gani? Labda chini ya 350k
A3 core? Maana hio simu unayoitaja siioni, ama weka link yake.Mkuuu nilimaanisha a03 co
Kaka vipi kati ya real me 8 pro vs redmi note 10 pro na samsung a52Kwa Samsung around hio budget unapata A31, kwa muono wangu si simu nzuri kwa value ya pesa.
Kama unaweza kusubiri redmi note 10 pro ni simu nzuri, ama hata plain redmi note 10, zote zinakaa na Chaji na display nzuri kwa matumizi ya kila siku.
Kama Samsung ni priority subiria Galaxy A52 4G ambayo ndio imetoka, yenyewe pia specs zake ni nzuri sana, sema hii itabidi uongeze hela kidogo.
Overal ni Samsung galaxy A52, maana perfomance zote zinafanana, kwenye mambo mengine ya simu A52 ipo juu kama uhakika wa updates miaka 3, ubora wa display, camera, waterproof etc.Kaka vipi kati ya real me 8 pro vs redmi note 10 pro na samsung a52
Overall nani mbabe hpo??
Overal ni Samsung galaxy A52, maana perfomance zote zinafanana, kwenye mambo mengine ya simu A52 ipo juu kama uhakika wa updates miaka 3, ubora wa display, camera, waterproof etc.
sema kama unataka perfomance ya ukweli angalia POCO x3 pro, hii ndio bora kushinda zote tatu hapo juu na bei zinafanana ama unaweza ipata rahisi zaidi, yenyewe ina snapdragon 860 ambayo ni flagship level soc, nguvu kama GAlaxy S10.
Xiaomi Poco X3 Pro - Full phone specifications
www.gsmarena.com
yah kiasi fulani ila zote tatu ni simu ambazo unakaa nazo siku nzima bila kucharge, kwenye test za gsmarenaAsante mkuu ila naona kma real me anakaa na charge zaidi
Kuna hii moto g 5g naona nayo inapita humo humo
Kioo kikizingua unagharamika 90-120.Hapa mnapeana maujinga tu, unakuta mtu matumizi yake ni social media, kupiga simu, sms na kupiga picha, unamshawishi anunue simu yenye ubora mkubwa tena inauzwa zaidi ya laki tano na halafu hiyo laki tano amejichanga sana mwishowe ananunua simu ili nae aonekane ana simu kali, HIVI WATANZANIA TUNAFELI WAPI????
Kwa namna hii umasikini hautaondoka kwetu hata kama tuko UCHUMI WA KATI