Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Sawa kaka shukrani

Nimecheki reviews za Samsung m51

Naona watu wamelalamika zina matatizo mengi

Ikiwemo kuacha kuchajisha simu na network signal reception iko chini sana

Hasa ukiupgrade kwenda android 11

Hii kwako imekaaje??
yah kiasi fulani ila zote tatu ni simu ambazo unakaa nazo siku nzima bila kucharge, kwenye test za gsmarena
-A52 endurance 105h
-realme 8 pro 116h
-redmi note 10 pro 118h

ila ufahamu jambo moja realme inakuja na kioo cha 60hz, samsung 90hz na Xiaomi 120hz, hivyo xiaomi na Samsung wana display za kisasa zaidi zinazokula umeme mwingi zaidi, pamoja na hilo zimeweza kutoa matokeo mazuri kwenye ukaaji chaji.

ukicompare simu kama redmi note 9s (ina soc moja na realme 8 pro sd 720) utaona kuwa realme amepitwa ukaaji chaji, 9s in 127H enudrance yake vs 116H ya realme 8 pro.
 
Sawa kaka shukrani

Nimecheki reviews za Samsung m51

Naona watu wamelalamika zina matatizo mengi

Ikiwemo kuacha kuchajisha simu na network signal reception iko chini sana

Hasa ukiupgrade kwenda android 11

Hii kwako imekaaje??
Siwezi kufahamu hayo mkuu, na pia usiangalie matatizo ya simu comments za Gsmarena.

Na m51 pia ni ya soko la India, mfano Hilo suala la poor reception mpaka ujue ni mtandao gani na ni band ipi imesababisha. Kwa Tanzania hata utembee na Antenna Halotel 4g itakuwa na reception mbovu, si Sababu ya simu ama mtandao Bali band husika, ambayo hutoa speed kubwa sana ukiwa covered lakini ukiwa mbali ama umezibwa kidogo hupati signal vizuri.

Pia most of time matatizo yanayokuja na updates baadae hutolewa updates nyengine kuyatatua.
 
Mkwawa hii A12 Sum mbona iko vyemaa
Pia ina kaa na charg sanaa.

Pia sijajua kasoro kuu ni zip kwa Budget yangu ya 350k
 
Okay mkuu

Halafu kuna kitu kma kinanivuruga

Unakuta simu inasupport bands zote za network za Tanzania

Ila unakuta iko network unlocked huko inakouzwa

Na humu jamvin ilishawah jadiliwa kwamba hzi unlocked phones huwaga zina shida zake

Je ni kweli hata kma zina freq bands zote za mitandao husika hapa bongo??
 
Mkwawa hii A12 Sum mbona iko vyemaa
Pia ina kaa na charg sanaa.

Pia sijajua kasoro kuu ni zip kwa Budget yangu ya 350k
Inategemea na matumizi, kama Una matumizi ya kawaida si mbaya, ila matumizi makubwa haitafanya.

Kwa budget ya 350k Xiaomi redmi 9T ni simu nzuri.
 
Okay mkuu

Halafu kuna kitu kma kinanivuruga

Unakuta simu inasupport bands zote za network za Tanzania

Ila unakuta iko network unlocked huko inakouzwa

Na humu jamvin ilishawah jadiliwa kwamba hzi unlocked phones huwaga zina shida zake

Je ni kweli hata kma zina freq bands zote za mitandao husika hapa bongo??
Unlocked hazina shida, locked ndio zina shida, unless muuzaji kasema ni unlocked hali ya kuwa sio.
 
Inategemea na matumizi, kama Una matumizi ya kawaida si mbaya, ila matumizi makubwa haitafanya.

Kwa budget ya 350k Xiaomi redmi 9T ni simu nzuri.
Nashukuru lakini maduka mengi hizo simu wauzaji hawazijui na hata upatikanaji wake ni wa shida
 
Overal ni Samsung galaxy A52, maana perfomance zote zinafanana, kwenye mambo mengine ya simu A52 ipo juu kama uhakika wa updates miaka 3, ubora wa display, camera, waterproof etc.

sema kama unataka perfomance ya ukweli angalia POCO x3 pro, hii ndio bora kushinda zote tatu hapo juu na bei zinafanana ama unaweza ipata rahisi zaidi, yenyewe ina snapdragon 860 ambayo ni flagship level soc, nguvu kama GAlaxy S10.
Bongo naweza ipata wapi kwa sh ngaapi
 
Poco ya kuagizishia tu mkuu, kama hujui muone Mwl.RCT

Tafuta bei sehemu nzuri kwenye ofa itacover hela ya usafiri
Bongo naweza ipata wapi kwa sh ngaapi
- mtume wawatu anzia hapa chagua model unayohitaji: Search for POCO - GSMArena.com

- Kisha utanijulisha tuende hatiua inayofuata
1617448288781.png
 
Napitia baadhi ya simu kama poco f3 naona haina heaphone jack pia ina infared. Hii infared ya kazi gani kwa wakati huu.?
 
Back
Top Bottom