Hii simu kukaa na chaji ni lazma sababu kwanza ina battery kubwa 5000mAh...pili processor yake sio power hungry ina performance avarage...tatu kioo chake sio FHD so inasukuma pixels chache...tatzo ka hzos simu zinaruns One UI core versions so huezi enjoy features za samsung kama secure folder nkNikweli Japo nimechukua A12 Sum ina gonga vizuri kazi zangu na inasimika sana na charge
Mkuu nikijisifu kwa kutumia Oppo hii nitakuwa sahihi walau [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa mnaosifia oppo na ndugu yake Vivo sifa zao ni hizi
1. WanaTangaza simu nzuri yenye specs kali kwenye media then wanazo hype zijulikane
2. Simu kali zinakuwa na availability ndogo na ngumu kupatikana
3. Then wanatengeneza simu mbovu nyingi za mediatek za ovyo kama p22 wanazijaza kibao mitaaani.
4. Wajinga waliwao, kwa kutumia hypes za point ya kwanza wa nanunua simu za point ya 3.
Usinunue simu kwa kuangalia brand tu bila kujiridhisha specs zake. Nenda China Plazza zimejaa kibao oppo na Vivo Ila 90% ni vimeo ukijichanganya tu una p22 kwa laki 4 ama 5.
Hii kwa kipindi chake unanunua ilikuwa simu kali, miaka kadhaa baadae ipo Samsung A02,Mkuu nikijisifu kwa kutumia Oppo hii nitakuwa sahihi walau [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1743188
Ahaa mkuu A02 ina bei gani kwa sasa? [emoji16][emoji16] Ila mkuu hii simu naipendea kitu kimoja tangia niinunue mwaka 2018 mwezi wa 11 mpaka leo sijawahi kurestore na inasukuma mzigo fresh .Hii kwa kipindi chake unanunua ilikuwa simu kali, miaka kadhaa baadae ipo Samsung A02,
Around laki 3, ila kwa sasa zipo better soc kuliko hio, hasa sd 662 kwa budget zetu hizi ndogo.Ahaa mkuu A02 ina bei gani kwa sasa? [emoji16][emoji16] Ila mkuu hii simu naipendea kitu kimoja tangia niinunue mwaka 2018 mwezi wa 11 mpaka leo sijawahi kurestore na inasukuma mzigo fresh .
Haijawahi kuzingua kwa jambo lolote .
Na wakati nanunua niliinua kwa mtu .
Simu gani hiyo mkuu niweze kuitafutaAround laki 3, ila kwa sasa zipo better soc kuliko hio, hasa sd 662 kwa budget zetu hizi ndogo.
Zipo nyingi, poco m3, Xiaomi redmi 9T, oppo A73, realme 7i etcSimu gani hiyo mkuu niweze kuitafuta
A73 naweza kuipata kwa bajeti ya kiasi gani ?Zipo nyingi, poco m3, Xiaomi redmi 9T, oppo A73, realme 7i etc
oppo wana bei around laki 5 hivi kenyaA73 naweza kuipata kwa bajeti ya kiasi gani ?
Daah kwa bajeti ya 350K nitapata simu gani bomba ?oppo wana bei around laki 5 hivi kenya
Redmi 9TDaah kwa bajeti ya 350K nitapata simu gani bomba ?
Ahaa Ntaipata wapi kwa urahisi ?Redmi 9T
Kenya mkuu,Ahaa Ntaipata wapi kwa urahisi ?
Duuh mimi niko mwanzaKenya mkuu,
maleoHawa jamaa wa infiniix, tecno, itel, kgtel, X-Tigi & co. Sijui tuwaambie vipi watuelewe[emoji53][emoji53][emoji53]
Je tecno camon 15 Air ni nzuri?Kioo michele michele.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wazee we tekino mje huku kuna dawa mnywe
Hazina tofautileo nina shida moja nahitaji msaada, shida yangu nahitaji hizi simu za smartkitochi ambacho kitakua na uwezo wa internet ya kasi ya 4g mzur sana... Sihitaj nikitumie kwa whatsapp, Instagram wala Facebook.. Main use hapa ni kuweka lain zangu ziwe active maan nina laini nyingi na kazi yake kubwa saana itakua kutumika kama modem kwenye Hotspot au USB tethering budget yangu haizid 60000tsh...ushauri tafadhari.
leo nina shida moja nahitaji msaada, shida yangu nahitaji hizi simu za smartkitochi ambacho kitakua na uwezo wa internet ya kasi ya 4g mzur sana... Sihitaj nikitumie kwa whatsapp, Instagram wala Facebook.. Main use hapa ni kuweka lain zangu ziwe active maan nina laini nyingi na kazi yake kubwa saana itakua kutumika kama modem kwenye Hotspot au USB tethering budget yangu haizid 60000tsh...ushauri tafadhari.
Ebu mtoe Xiaomi kwenye upuuzii huo,Labda ungefananisha oppo na huawei au xiaomi.