Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

Anayo kuambia shemeji yangu hapo juu, ni nzuri 150 ina hadi sehemu ya kucharg sim,

Boxer ikishaanza kutoa moshi, ndiyo mwisho wa uhai wa hyo pikipiki

Tvs ni kama roho ya paka mweusi
Sawa ndugu yangu but nime Google tvs hlx 150 nimekutana na picha shapeless but hii ya sister anasema ni tvs hlx 150 nimeona ipo tofauti na nilio Google
 
Mi naona platina iko vizuri kuliko hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…