Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
HLX 150Hii ni ipi sister?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HLX 150Hii ni ipi sister?
Mmh! Mbona nime Google imeniletea kitu shapeless wakati hii naiona ni tamu sana ki muonekano?!HLX 150
Anayo kuambia shemeji yangu hapo juu, ni nzuri 150 ina hadi sehemu ya kucharg sim,Mmh! Mbona nime Google imeniletea kitu shapeless wakati hii naiona ni tamu sana ki muonekano?!
Sawa ndugu yangu but nime Google tvs hlx 150 nimekutana na picha shapeless but hii ya sister anasema ni tvs hlx 150 nimeona ipo tofauti na nilio GoogleAnayo kuambia shemeji yangu hapo juu, ni nzuri 150 ina hadi sehemu ya kucharg sim,
Boxer ikishaanza kutoa moshi, ndiyo mwisho wa uhai wa hyo pikipiki
Tvs ni kama roho ya paka mweusi
Kwahiyo unatafuta shape kwenye usafiri wa biashara!?.. Hongera bossSawa ndugu yangu but nime Google tvs hlx 150 nimekutana na picha shapeless but hii ya sister anasema ni tvs hlx 150 nimeona ipo tofauti na nilio Google
Sio Biashara boss wangu, ni matumizi binafsiKwahiyo unatafuta shape kwenye usafiri wa biashara!?.. Hongera boss
Kama bado unaongelea hizi brand za kiafrika basi wana hii TVS APACHE RTR 160/180.Sio Biashara boss wangu, ni matumizi binafsi
Boss hii estimation ya bei ipo vipi?Kama bado unaongelea hizi brand za kiafrika basi wana hii TVS APACHE RTR 160/180.
View attachment 876467
Around 5M+..Boss hii estimation ya bei ipo vipi?
Aisee 5M+..... kwa pkpk then hata car sina naona kama nitakuwa najizulumu!Around 5M+..
Mi naona platina iko vizuri kuliko hizo125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
Kizuri gharama, si unataka zenye maumbo mazuri kama mabinti mkuu!..Aisee 5M+..... kwa pkpk then hata car sina naona kama nitakuwa najizulumu!
mafuta per Km na durability imekaaje mkuu!?..Mi naona platina iko vizuri kuliko hizo
Hahahaaaa.....!!! Boss kwa shape ya tvs hlx 150 ni bora nibaki na boxer tu!Kizuri gharama, si unataka zenye maumbo mazuri kama mabinti mkuu!..
Ni sawa mkuu!.Hahahaaaa.....!!! Boss kwa shape ya tvs hlx 150 ni bora nibaki na boxer tu!
Naweza fight kupata hiyo 5M+ but ningekuwa tayari na gari sawa
Ingekuwa ama kama zipo around 3M zenye muonekano mzuri ningejilipua tuNi sawa mkuu!.
Chukua honda vt250Sorry boss natumia boxer Bm 150 now, ni kwa matumizi binafsi but nna mpango wa ku change pkpk so vipi kuhusu hiyo tvs 150 itanifaa?
Mjini Dar zipo?Chukua honda vt250
Hii ninayo mimi mkuu, naiuzaMjini Dar zipo?
Na kiasi gani?