Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania
Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa.
Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama Halotel, Zuku, Simbanet n.k wakati wanaomba vibali vya kufanya kazi Tanzania, kwanini iwe Starlink?
Ikumbukwe hii ni mara ya pili Starlink wanaleta maombi nchini..... Kabla ya hapo kampuni ya Starlink iliyo chini ya Bw. Elon Musk iliripoti kwamba ilikuwa na mpango wa kuzindua huduma zake mwanzoni mwa mwaka 2023 nchini Tanzania ila mamlaka zikamwekea vikwazo.