heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Iingieee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei zao zipo chini sana mzee, kwa speed ya zaidi ya 100 mbps, cause inafika hadi 220 mbps sio mchezo, hata flash ya usb 2.0 haina speed hio kwenye ku copy file... Hio speed inahitaji uwe na kifaa cha kisasa.. ndipo utagundua...Starlink bei zao sio ndogo kama watu wanavyodhani ila itaongeza ushindani na coverage yao ni kubwa sababu inatumia satellites.
Hapana shida ya serikali wanajuwa hawana uwezo wa kuicontrol starlink nini kioneshwe nini kifungwe. Starlink wewe fungua unachotaka iko open 100%.Kwani Wananchi hawaipendi Starlinkk mpaka waikatae?Kwa nini kwanza waikatae wakati huduma zitakuwa chini kidogo na za haraka?Nadhani itakuwa kutaka mawazo tu kwa Wananchi.
Technolojia ni kama mwanga wa jua,asubuhi ikifika patapambazuka tuNimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania
Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa.
Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama Halotel, Zuku, Simbanet n.k wakati wanaomba vibali vya kufanya kazi Tanzania, kwanini iwe Starlink?
Ikumbukwe hii ni mara ya pili Starlink wanaleta maombi nchini..... Kabla ya hapo kampuni ya Starlink iliyo chini ya Bw. Elon Musk iliripoti kwamba ilikuwa na mpango wa kuzindua huduma zake mwanzoni mwa mwaka 2023 nchini Tanzania ila mamlaka zikamwekea vikwazo.
Makampuni ta Tanzania karibia yote ni kama laki 2 kwa mwezi ila starlink inaweza kugonga 130 hivi ila factor haitaamuliwa na bei tu maana ni wazi ushindani watashusha bei mwisho wa siku itakuwa quality ya huduma inaamua kama hivi sasa mtu anaweza kuchagua mtandao huu sio ule hata kama bei sawa ila kuamini huduma.Bei zao zipo chini sana mzee, kwa speed ya zaidi ya 100 mbps, cause inafika hadi 220 mbps sio mchezo, hata flash ya usb 2.0 haina speed hio kwenye ku copy file... Hio speed inahitaji uwe na kifaa cha kisasa.. ndipo utagundua...
Haya makampuni ya internet ya Tanzania 100 mbps bei yake ni kubwa...
Haya makampuni ya ndani hayatoweza battle na starlink, starlink hivi sasa Kenya wameleta mini starlink ni kiantenna kidogo unatembea nacho unaperuzi tu, wameleta hadi vifurushi vya siku...Makampuni ta Tanzania karibia yote ni kama laki 2 kwa mwezi ila starlink inaweza kugonga 130 hivi ila factor haitaamuliwa na bei tu maana ni wazi ushindani watashusha bei mwisho wa siku itakuwa quality ya huduma inaamua kama hivi sasa mtu anaweza kuchagua mtandao huu sio ule hata kama bei sawa ila kuamini huduma.
Trump = Rais wa USA = MuskHawana ubavu kuzuia starlink isi operate hapa, US AID ndio hao kina Musk na kina Billget wazee wa msaada kutoka watu wa marekani... Serikali itaruka sana lakini starlink itapita wapende wasipende, kuikataa starlink ni kutangaza vita baridi vya kibiashara na hao mabilionea na serikali ya USA, halafu Musk na Trump ndio hao... Najua voda, tigo, halotel , makampuni ya huduma za Internet, n.k wanapiga vita chini chini starlink ibaniwe lakini hawawezi...
Sisi wenyewe omba omba halafu ukatae matakwa ya US.... Nasemaje starlink iingie kesho asubuhi saa 1...
Tcra wataruka na kubana sana, lakini mwisho wa siku wanaachia...
Nchi kama China ndio wenye ubavu kuikataa starlink...
US alikataza nchi kama UK, Australia, Canada n.k wasitumie tech ya 5G ya mchina na wakafuata maelekezo...
Tz inaweza kujiweka kwenye hali ngumu kuzuia starlink na wakubwa wakachukulia personal, haya mambo yapo complicated..
Balanced eqn .... Na ndivyo ilivyo...Trump = Rais wa USA = Musk
Ukimbania Musk umembania Trump na ukimbania trump jua umejibania misaada.
Na hii ndio sababu ya kutaka kuwakataa starlink kwa kujificha kwenye kichaka kwamba wananchi wachague...Trump = Rais wa USA = Musk
Ukimbania Musk umembania Trump na ukimbania trump jua umejibania misaada.
Kilinge kimebarikiMaoni yangu toka Msata Kilingeni: Star link IPITE BILA KUPINGWA
Ni ya BaltasarNimepita hapo kwako nikaona Jeep Wrangler, ni ya kwako au ya mgeni waki!!??
Kwa namna tulivyo corrupt nation usitegemee starlink kufanya kazi hapa nchini….Lazima kuna kampuni zinapambna hilo lisitokee!Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania
Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa.
Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama Halotel, Zuku, Simbanet n.k wakati wanaomba vibali vya kufanya kazi Tanzania, kwanini iwe Starlink?
Ikumbukwe hii ni mara ya pili Starlink wanaleta maombi nchini..... Kabla ya hapo kampuni ya Starlink iliyo chini ya Bw. Elon Musk iliripoti kwamba ilikuwa na mpango wa kuzindua huduma zake mwanzoni mwa mwaka 2023 nchini Tanzania ila mamlaka zikamwekea vikwazo.
Republican kimeshinda, na kikatiba kinachukua rasmi uongozi wa dola ifikapo Januari 2025. Elon Musk keshapewa nafasi nyeti ndani utawqla wa Rais mteule Donald Trump.Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania
Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa.
Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama Halotel, Zuku, Simbanet n.k wakati wanaomba vibali vya kufanya kazi Tanzania, kwanini iwe Starlink?
Ikumbukwe hii ni mara ya pili Starlink wanaleta maombi nchini..... Kabla ya hapo kampuni ya Starlink iliyo chini ya Bw. Elon Musk iliripoti kwamba ilikuwa na mpango wa kuzindua huduma zake mwanzoni mwa mwaka 2023 nchini Tanzania ila mamlaka zikamwekea vikwazo.
Wapigie upate maelekezo zaidiNimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania