Ipi sababu ya TCRA kuomba maoni ya wanachi kwa ujio wa Starlink? Hii haiwezi ikawa njia ya kuikataa?

Starlink bei zao sio ndogo kama watu wanavyodhani ila itaongeza ushindani na coverage yao ni kubwa sababu inatumia satellites.
 
Starlink bei zao sio ndogo kama watu wanavyodhani ila itaongeza ushindani na coverage yao ni kubwa sababu inatumia satellites.
Bei zao zipo chini sana mzee, kwa speed ya zaidi ya 100 mbps, cause inafika hadi 220 mbps sio mchezo, hata flash ya usb 2.0 haina speed hio kwenye ku copy file... Hio speed inahitaji uwe na kifaa cha kisasa.. ndipo utagundua...

Haya makampuni ya internet ya Tanzania 100 mbps bei yake ni kubwa...
 
Jumanne jioni niliona satellites za starlink zikiwa zinapita kwenye anga ya dsm, muda wa saa kumi na mbili jioni.
Kuziona satellites jinsi zilivyo, hatukujua nini, tunastaajabu, nikatia simu na kupiga picha chap kabla hazijatoweka, mstari wa vitaa vidogo vinaongozana, in a straight, orderly line.

Nimefatilia online ndio nikajua ni ninj jana
 

Attachments

  • Screenshot_20241115-163927.jpg
    85.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241115-163853.jpg
    172.1 KB · Views: 3
Kwani Wananchi hawaipendi Starlinkk mpaka waikatae?Kwa nini kwanza waikatae wakati huduma zitakuwa chini kidogo na za haraka?Nadhani itakuwa kutaka mawazo tu kwa Wananchi.
Hapana shida ya serikali wanajuwa hawana uwezo wa kuicontrol starlink nini kioneshwe nini kifungwe. Starlink wewe fungua unachotaka iko open 100%.
 
Technolojia ni kama mwanga wa jua,asubuhi ikifika patapambazuka tu
 
Makampuni ta Tanzania karibia yote ni kama laki 2 kwa mwezi ila starlink inaweza kugonga 130 hivi ila factor haitaamuliwa na bei tu maana ni wazi ushindani watashusha bei mwisho wa siku itakuwa quality ya huduma inaamua kama hivi sasa mtu anaweza kuchagua mtandao huu sio ule hata kama bei sawa ila kuamini huduma.
 
Haya makampuni ya ndani hayatoweza battle na starlink, starlink hivi sasa Kenya wameleta mini starlink ni kiantenna kidogo unatembea nacho unaperuzi tu, wameleta hadi vifurushi vya siku...

Watu wanaongea lakini speed ya starlink sio mchezo..
 
Kwamba tumezima internet kuzuial "taharuki" ya maandamano, hahaha! Starlink huwezi kuzima...
 
Trump = Rais wa USA = Musk

Ukimbania Musk umembania Trump na ukimbania trump jua umejibania misaada.
 
Trump = Rais wa USA = Musk

Ukimbania Musk umembania Trump na ukimbania trump jua umejibania misaada.
Na hii ndio sababu ya kutaka kuwakataa starlink kwa kujificha kwenye kichaka kwamba wananchi wachague...

Wanajitahidi kutumia ujanja lakini hakuna kitu..
 
Kwa namna tulivyo corrupt nation usitegemee starlink kufanya kazi hapa nchini….Lazima kuna kampuni zinapambna hilo lisitokee!
 
Republican kimeshinda, na kikatiba kinachukua rasmi uongozi wa dola ifikapo Januari 2025. Elon Musk keshapewa nafasi nyeti ndani utawqla wa Rais mteule Donald Trump.

Fear of unknown.
 
Wapigie upate maelekezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…