Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hii bahati inatafutwa, au inakuja yenyewe?Kufanya kazi kwa bidii/werevu lakini pia bahati inahitajika kwa umuhimu sana.
Bahati inakuja yenyewe, ni sawa na kusema wakati wake wa kufanikiwa umefika.Hii bahati inatafutwa, au inakuja yenyewe?
Fikiria mmama anaponda kokoto mpaka ajaze tipa, alafu anaambulia elfu 30Mtanzania yeye ni kuiba tu
Wanaofanya kazi kweli kweli ni wachache....tena hao wa mshahara wa chini
Ova
Aangalie improvement ya kazi yake aelekeze wapi ili uzalishaji uongezeke, Labda hiyo elfu 30 awekeze kwenye nyundo kubwa ili kuongeza speed ya uzalishaji, hizi McDonald tunazokula sasa hivi walianza kama wachoma chips tuu wa mtaani lakini baada ya miaka mingi ya improvement sasa ni mabilionea, naamini Kila kitu kina room ya kufanya improvement na kuongeza thamani, ndio unahitaji hard work na akili na kuachana na visingizio vya kutofanya kaziFikiria mmama anaponda kokoto mpaka ajaze tipa, alafu anaambulia elfu 30
Ni sawa na mchimbaji mdogo wa madini, anapoteza nguvu na muda kuchimba sehemu ambapo hakuna madiniAangalie improvement ya kazi yake aelekeze wapi ili uzalishaji uongezeke, Labda hiyo elfu 30 awekeze kwenye nyundo kubwa ili kuongeza speed ya uzalishaji, hizi McDonald tunazokula sasa hivi walianza kama wachoma chips tuu wa mtaani lakini baada ya miaka mingi ya improvement sasa ni mabilionea, naamini Kila kitu kina room ya kufanya improvement na kuongeza thamani, ndio unahitaji hard work na akili na kuachana na visingizio vya kutofanya kazi
Huyo sasa ndy anafanya kazi,Fikiria mmama anaponda kokoto mpaka ajaze tipa, alafu anaambulia elfu 30
Kabla hiyo bahati haijakufikia maana huwezi kuicontrol fanya kazi kwa bidii na kwa werevuKufanya kazi kwa bidii/werevu lakini pia bahati inahitajika kwa umuhimu sana.
Bahati = maandalizi yaliyokutana na fursa.Kufanya kazi kwa bidii/werevu lakini pia bahati inahitajika kwa umuhimu sana.
Fanya maandilizi ili fursa ikija IKUBEBE halafu tukuite UNA BAHATI.Bahati inakuja yenyewe, ni sawa na kusema wakati wake wa kufanikiwa umefika.
Kazi n lazima ufanye ili bahati ije ikubebe. Ila sio lazima uwe unafanya kazi kwa bidii kuna wengine wapo kimichongoFanya maandilizi ili fursa ikija IKUBEBE halafu tukuite UNA BAHATI.
#YNWA
Soma tena.Kazi n lazima ufanye ili bahati ije ikubebe. Ila sio lazima uwe unafanya kazi kwa bidii kuna wengine wapo kimichongo